Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Wakuu habari zenu,
Poleni na majukumu ya hapa na pale,
Nimekuwa nikifanya research sasa ni mwaka wa 4, yaani kila mwanamke nayempata ananiacha kwa namna ambayo najifikiria mala mbilimbili na sielewi.
Kuna huyu wa kwanza mwaka 2012 nilimtongoza vizuri tu na akaingia box bila usumbufu wowote, tumekaa kwenye mahusiano kama miezi mitatu bila hata kufanya mapenzi yaani zilikuwa long-chatting za hapa na pale kutumiana vocha na kadharika.
Nilipokuja kubugi ni kumuomba papuchi alikataa kata kata,chenga zikawa nyingi nikimtumia sms leo inajibiwa kesho
*tukapotezana kiivyo bila kujuana kiundani.
Huyu wa pili mwaka 2012 yeye tulikutana kama ajali tu njiani basi kidume nikamfata nikatema cheche pale akanipa namba yake,ila sasa haishi kuniomba pesa za matumizi.
Yaani yeye kusuka nywele anataka laki pesa ambayo hata operation yakichwa haifiki hapo, na niligharamia yote hayo, nilipanga siku tuweze kukutana pale maisha clubs, aisee! Unywaji ule wa pombe unaweza sema anampango wa kuhujumu nchi, na alikuwa na marafiki zake watatu nilipomuuliza hawa marafiki zako umewabeba wa nini? Kanijibu wanampa support.
Nilispendi karibia elfu sitini za kunywa bia na mimi nilikunywa bia mbili tu,aisee ikafika mida ya saa mbili hivi jioni nikachukua room niweze kupumzika nae, hakubali wapi?
Aligoma vibaya mnoo mi nilijua kwakua amelewa tilalila basi mzigo nitauchukua kirahisi kama nanawa. Rafiki zake wakimvuta na kumwambia warudi nyumbani, nilishindwa chakufanya maana ningeonekana nataka kumbaka.

Mpaka saivi sijapata bado wakumpenda, ila nauliza hili ni gundu ama ni nini..? kila nayempata anakubali hila sioni ndani.
Post using my macbook air using jamiiforums app