lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Katika maisha yangu sijawahi kumuambia mwanamke kwamba "tuachane" au "sikuhitaji tena" na sio kama nashindwa kumtamkia mwanamke hayo maneno hapana ,huwa nahisi kama nikimtamkia hayo maneno atajiskia vibaya sana hasa inapotokea yeye hana kosa lolote alilonifanyia.
Mara nyingi naamuaga kukaa tu kimya kuliko kumtamkia maneno ambayo nahisi atajiskia vibaya kwa upande wake, huwa nafanya hivi ili mwanamke ajiongeze mwenyewe.Sipendi kumfanya mwanamke aumie kwa kauli zangu au matamshi yangu.
Sasa najiuliza mpaka leo kwamba nina huruma sana au kitu gani