Dada huyu katunza rangi yake ya asili, neno moja kwake

Dada huyu katunza rangi yake ya asili, neno moja kwake

buffaro89

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
592
Reaction score
378
Dada zetu wanao jichubua, naona walikuwa wanafikiri kuwa pengine hawaonekani baada ya kuona mitongozo inaadimika kila ipitapo siku, lakini wamesahau hivyo ndivyo wanatakiwa kuwa.Mungu ndivyo alivyo penda so usijichubue, be natural,ipo siku mtatoka tuu.

Ni vizuri kuchukuwa mfano wa huyu binti,anaitunza rangi yake.
13406869_637523679729676_5698025499521567604_n.jpg
 
inasemakana huko kwenye nchi za wenzetu,kuna mikorogo ya kuwa na rangi nyeusi...utafiti wahivi karibu umemtaja dada Heleni Axe ambaye ndiyo mleta mada kamtupia kama mmoja aliyefanikiwa kutoka kwenye rangi nyeupe maarufu kama mzungu na kuwa mweusi.

Helen ni rai wa Wingereza ambaye kwa sasa anaishi Marekani,Wazazi wake wote wakiwa ni wazaliwa wa Wingereza huku baba yake ikisemekana ameshiriki katika tasnia ya siasa za wingereza kwa muda mrefu.

Licha ya Heren kupata mashambulizi mengi kutoka kwenye nchi za ufaransa na germany kupitia mitandao ya kijamii,yeye ameendelea kukili yuko furaha na anafarijika kuwa katika rangi nyeusi.
"taarifa hii sio ya ukweli,ni ya kubuni..."
 
Amependeza sana. Ila atunze na nywele zake asilia
 
Back
Top Bottom