Naileta kam nilivyoipata. INASIKITISHA NA KUFEDHEHESHA
MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE AMESEMA KUWA NI RAHISI KUFANYA NGONO NA WASICHANA WANAOKWENDA KANISANI KULIKO AMBAO HAWAENDI KANISANI...
Nafuta rafiki wa kike, umri miaka 20 hadi 24, baadae aje kuwa mchumba na hatimae kuwa mke. Awe anaishi Daresalaam, na mkristo.
Mim nina umri wa miaka 26, na ninafanya kazi. nipo Dar pia. Karibu...
Ni miaka ya mwisho ya themanini hadi mwishoni mwa miaka ya tisini, wakati huo watu wakiogopa kaswende, na gonorea, ukimwi tunaona kama hadithi, wakati huo hakuna mobile phones,na vipato vya watu...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 nimeajiriwa kwenye sekta ya fedha, ni mrefu (6 feet), maji ya kunde.
Sina ubaguzi wa dini ila mchumba asizidi miaka 37.
Ahsante
Hello JF,
Karibu katika fikra pevu tena,
Katika mahusiano wengi huogopa kuelezea mitazamo yao au hisia kwa kuhofia kuwa italeta picha gani kwa yule mtu unamwambia?
Je mahusiano yangu yatadumu...
Habar wana Jf
Kabla ya yote napiga goti kumshukuru mungu kuniepusha kwenye tatizo hili sasa ni mwaka wa tano toka nilipoachana na aliiyekuwa mpenzi wangu aliyeathirika na virusi vya ukimwi...
Habari humu
Watu wengi (hasa vijana)wameaminishwa kuwa mapenzi ya sasa bila ya kuwa na Pesa ni kitu kisichowezekana wanasema usipokuwa na pesa hutaishia kuwaita wanawake wazuri shemeji...ni kweli...
[emoji121]
WAKUU,
KUNA BINTI HAPA KITAA KUNDUCHI_BEACH ANAFANYA KAZI KWENYE ASASI FULANI ISIYO YA KISERIKALI YENYE USHIRIKA NA ASASI MOJA HUKO AUSTRALIA.
SASA ALIPATA SHAVU LA KWENDA AUSTRALIA...
Wakuu ni kwema poleni na majukumu,
Nina dogo mmoja ana uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja hapa mtaani. Anadai wana kama mwaka mmoja since wamekubaliana sasa huyo binti imethibitishwa kuwa ni...
Habarini wanajamvi!
Leo nipo hapa kuwapa msisitizo wa jambo ambalo najua wengi mnalifahamu na pengine mshawahi lipitia.
Jambo lenyewe ni hisia kali sana za kimapenzi. Katu katika maisha yako...
Hamjambojeeee.....
Wanajamvi, je ni sahihi kuwalaza watoto chumba kimoja pamoja na wageni???
Fikiria umepata mgeni, una chumba chako, cha watoto wa kike na wakiume. Mgeni ni mwanaume, je...
Mimi nimeolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. Siku hizi mume wangu akija nyumbani anaanza kunigombeza bila sababu...
Zifuatazo ni njaa mbili zinazowasumbua wanandoa endapo hawatashibishana;
1. Njaa ya mwanamke ni upendo;
Mwanamke anahitaji upendo kuliko vitu vingine, hata katika vitabu vya dini vinasema; enyi...
habari zenu wakuu
Kuna Dada nilitokea kumpenda nikamtongoza ila sikufanikiwa kumpata pengine huenda sikuwa na vigezo alivyoviitaji au pengine alikua na mahusiano na mwanaume mwingine,baada ya...
Wakati unajipanga kwenda kubanjuka na mke wa mtu, weka hili akilini kua yafuatayo yaweza kukutokea.
1)Kupoteza Marinda
Hofu ya wanaume wengi ni hapa. Anaweza toa hata hela ambayo ilikua imewekwa...
Unakuta mwanamke anajua kabisa anatongozwa atatoa namba atapenda mchati lakini ukimwelezea shida yako anakukataa..sasa mnataka mazoea ya nini mtu kama humtaki si u mblock tu au umtukane ajue uko...
Katika pitapita zangu nilikuwa eneo moja kuna eneo nilikuwa nimetulia nikipunga upepo.
Wakati nikiwa nimetulia kuna wadada walikuwa wanazungumza ya kwamba ni bora awe na UHUSIANO na mume wa mtu...