Pesa isikunyime haki ya kupenda

Pesa isikunyime haki ya kupenda

NaoH

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
51
Reaction score
26
Habari humu
Watu wengi (hasa vijana)wameaminishwa kuwa mapenzi ya sasa bila ya kuwa na Pesa ni kitu kisichowezekana wanasema usipokuwa na pesa hutaishia kuwaita wanawake wazuri shemeji...ni kweli dhana hiyo imeendelea kuaminika mpaka imefikia wakati manaume wengine wasio na Pesa wamebaki wapweke na wakiwa na machungu moyoni huku wenye Pesa wakiendelea kutumia Pesa kama kigezo kikuu cha kufanywa wapendwe
Swali linakuja kuwa:hivi wazee wazamani hawakuwa na upendo wa kweli ??? kwa sababu wao ilikuwa ni vocal tu unakula papuchi ,au sisi wanaume hatujui kupiga vocal mpaka tutumie mkwanja? Mimi naamin wapo wanawake wenye upendo wa kweli hata kama hauna Pesa hivyo Pesa isiku nyime nafasi ya kupenda ..wewe kama kuna binti umempenda Pesa ni kitu kidogo katika mapenzi wala hakita kuzuia kumpata yule ambaye moyo wako umemridhia.
Hivyo naomba tuyabadilishe hata mawazo yanayoendelea kushamiri kwa sababu yataendelea kufuta maana mzima ya upendo
Nawasilisha...
 
Pesa zenu zinawauma sana, kama hivyo kila mtu abaki na chake.

Nasikia wanasema eti mwanaume kama hana pesa na genye hupotea kabisa, ni kweli??
 
Sasa usipokuwa na pesa utarun vipi mapenzi haiwezekani pesa tu
 
Usijindanganye kwa sasa mapenzi ni pesa tu,wanawake wasasaiv nipasua vichwa naongea nilichokishudia kwa rafik yangu ambaye alikua ameajiliwa na mshahara wake ulikua mkubwa sana mke wake aliishi maisha mazur sana kula Kuku kula kila baada ya sku1 kwake ulikua kawaida mpaka kufika hatua ya kulalamika kua Kuku kawakinai lakin Jamaa yangu ikafika sehemu akafukuzwa kazi maisha yakaendelea badae akayumba kiuchumi uwez amin mwanamke vituko anavyomfanyia mke wake ni mwalimu inafika jamaa anatukanwa mpaka bas jamaa akiwaza kuachana nae anawaza watoto wake kua akiwachanganya na mama mwingine watateseka.Yan had jamaa akiwaza anahis kuchanganikwa.So kwa sasa kumpata Mwenye mapenz ya kweli nivigumu sana kwan kabla ya hapo jamaa apipendwa sana na kuonyeshi mapenz ya kila namba.
 
Pesa ndio kila kitu mkuu..nilipataga mtoto wa kitanga, kila akija dar kwa sister wake then natumia hiyo chance kampanga aje geto, alikua haombi hata nauli but akija baada ya kula vinono lazima nijiongeze 10k au 15k anapata na anashukuru sana..ndio maana mpaka kesho akija lazima anijulishe then tukumbushie zilipendwa.
 
Usijindanganye kwa sasa mapenzi ni pesa tu,wanawake wasasaiv nipasua vichwa naongea nilichokishudia kwa rafik yangu ambaye alikua ameajiliwa na mshahara wake ulikua mkubwa sana mke wake aliishi maisha mazur sana kula Kuku kula kila baada ya sku1 kwake ulikua kawaida mpaka kufika hatua ya kulalamika kua Kuku kawakinai lakin Jamaa yangu ikafika sehemu akafukuzwa kazi maisha yakaendelea badae akayumba kiuchumi uwez amin mwanamke vituko anavyomfanyia mke wake ni mwalimu inafika jamaa anatukanwa mpaka bas jamaa akiwaza kuachana nae anawaza watoto wake kua akiwachanganya na mama mwingine watateseka.Yan had jamaa akiwaza anahis kuchanganikwa.So kwa sasa kumpata Mwenye mapenz ya kweli nivigumu sana kwan kabla ya hapo jamaa apipendwa sana na kuonyeshi mapenz ya kila namba.
Hayo ndio madhara ya kuwazoesha Pesa mwisho wa siku ukikosa zinaanza dharau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom