Naogopa kuelezea hisia zangu

Naogopa kuelezea hisia zangu

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
913
Reaction score
547
Hello JF,

Karibu katika fikra pevu tena,

Katika mahusiano wengi huogopa kuelezea mitazamo yao au hisia kwa kuhofia kuwa italeta picha gani kwa yule mtu unamwambia?

Je mahusiano yangu yatadumu au ndiyo nitabomoa? Tunaogopa kusema mitazamo yetu tukiwa katika mahusiano embu sasa tuseme mahitaji yetu ambayo tunataka katika mahusiano ili baadae utakapofanya maamuzi usije mshangaza mtu kuwa mbona hakusema mapema.

Pia tuangalie lengo na aina ya watu wanaokuzunguka au uliyonayo katika mahusiano, kuna mtu alisema tuna chagua marafiki wa kwenda kunywa nao pombe angali hatuna hata mmoja wa kufanya nae biashara.
 
"....Pia tuangalie lengo na aina ya watu wanaokuzunguka au uliyonayo katika mahusiano, kuna mtu alisema tuna chagua marafiki wa kwenda kunywa nao pombe angali hatuna hata mmoja wa kufanya nae biashara"

Hapo NIMEKUELEWA SANA MKUU
 
Nilipokuwa nakunywa pombe nilishindwa kuwaambia rafiki zangu nimechoka kuwapa offer za bure. Halafu wao wanakunywa kuliko mimi dadeki zao bora nilivyo wacha kunywa na wao wamekimbia.[emoji111]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Amina bro
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom