DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
Wakuu ni kwema poleni na majukumu,
Nina dogo mmoja ana uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja hapa mtaani. Anadai wana kama mwaka mmoja since wamekubaliana sasa huyo binti imethibitishwa kuwa ni mwizi maana alikamatwa na vitu kibao vya rafiki zake kama nguo, hereni sijui vimini na mambo mengi.
Dogo anadai anampenda binafsi nimemshauri aachane kwani hata kama ana shida is better akavumilia kuliko kuiba pia anadai huyo binti anajifanyaga kama mwerevu sana na mjuaji wa mambo mema.
Yaani anayoyasema ni kinyume na ayafanyayo. Kama unakitu unaweza shauri nawasilisha kama huna maoni yeyote waweza pita tu.
Ahsanteni