Mke wa mtu sumu ewe kijana acha tamaa

Mke wa mtu sumu ewe kijana acha tamaa

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433

Wakati unajipanga kwenda kubanjuka na mke wa mtu, weka hili akilini kua yafuatayo yaweza kukutokea.

1)Kupoteza Marinda
Hofu ya wanaume wengi ni hapa. Anaweza toa hata hela ambayo ilikua imewekwa bank kwa kazi muhimu ili tuu asitatuliwe rinda. Ila hakuna mtu mwenye hasira kama mtu anaekuta unajifumulia goma lake tuu na kuligeuza geuza unavopenda. Huyu hakuachi asee VASELINE, MATE AU HATA KAVUKAVU rinda lazima litatuke.

2) TALAKA NA AIBU
Hapa sasa tuassume mkeo ndo kakubamba. Kuna mawili pia. Kama mkeo ni wale wapole unaweza salimika kwenye tundu la sindano. Ila tahadhari, wanawake ni watu wa vinyongo sana ukiingia kwenye kumi na nane zake anaweza akaact amekusamehe ila mzigo wa sumu ya panya ukahusika.
Ukikuta mkeo ndo Mwantumu Nipe Ndalandefu ndugu talaka utatoa na mtaa mzima utajua mpaka ya chumbani ambayo hukutaka yafike nje. Watoto wataambiwa maneno ya kashfa kuhusu wewe na mengine kibao.

EWE KIJANA, OA TULIA. KURUKA RUKA NA PAPUCHI AMBAZO WENZIO WAMESHAJIMILIKIA ITAKUJA KUKUTOKEA PUANI. SHAURI YAKO.

Sent using Jamii Forums mobile
 
Ushauri mzuri, mke wa mtu akikutaka kimbia haraka maana hiyo ni hatari, lkn vijana wa leo akiambiwa anapendwa na mke wa mtu tu...atajiona mwenye bahati kweli..na kujisemea..."Mahindi yamemuotea mtu aliye na meno..ni kutafuna tu"....kazi kweli kweli.
 
wake za watu wana shobo sana,nafikiri huhitaji kubadili mazingira
 
Ukitaka, kuyaharibu maisha yako kabisa, usiwe na thamani tena hapa duniani.
Jihusishe kimapenzi na mke wa mtu.
Au mwanafunzi,
Au mtoto chini ya miaka 18.

Mambo hayo ni ya kujitakia na hakuna atakaye kuonea huruma wala kukusaidia.

Kuna wanawake wengi sana ambao umeruhusiwa kisheria kuwa nao kwa urafiki wa kimapenzi, jihusishe na hao.

Mhenga nawaeleza.
 
Dugu kumbuka wanawake ni wanyama sana. Unaeza ukawa unampakua tu kama wali maharage kumbe mwenzio mke wa mtu na hakuambii. Siku rinda lako linakua matatani ndo unajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa mtu utamjua tu. kupitia taratibu zake za mawasiliano ya simu, habari za hapo anapoishi, hawi huru kuongea naye usiku, simu anazopigiwa nk.
Ni vizuri ukafanya utafiti wa mda fulani kabla ya kuvamia harakaharaka.
MADHARA YAKE NI MAKUBWA.
 
Ivi unajua hakuna mwanamke aliye huru kama mke wa mwanajeshi?
Endelea kudanganyika kwamba ukiona mwanamke yuko huru ndo ujifaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri. Ila kwa watakaojisahau na kujikuta wakiwa katika hatari ya kutatuliwa malinda wape maujanja ya kutumia ili wachomoke wakiwa na malinda yao.
 
Ushauri mzuri. Ila kwa watakaojisahau na kujikuta wakiwa katika hatari ya kutatuliwa malinda wape maujanja ya kutumia ili wachomoke wakiwa na malinda yao.
Ukitaka kuchomoka na malinda yako cha msingi jivunje shingo au jing'ate ulimi. Utapona marinda lakini utakua mfu.
Mtu katoa mahari,
Bado mkewe unakuta anambania game,
Ukute huko ana kamchepuko kanampukutua hela balaa,
Bado kazini ana stress boss anataka kumfukuza kazi,
Huku mtaani maisha magumu magu kakaza,
Watoto wanadaiwa ada

Alafu akukute kiunoni kwa mke wake, asee mchano utakaochanwa hayo marinda hata MARTIN KADINDA na udizaina wake atashindwa kuyarepea. Rinda litakua kama dekio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom