Hali hii sijaielewa ndugu zangu

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
habari zenu wakuu

Kuna Dada nilitokea kumpenda nikamtongoza ila sikufanikiwa kumpata pengine huenda sikuwa na vigezo alivyoviitaji au pengine alikua na mahusiano na mwanaume mwingine,baada ya kukataliwa sikuitaji kujua chochote kuhusu yeye hata contact nilifuta sababu nilichokitaka sikufanikiwa nikaona hakuna umuhimu ukizingatia pia huwa si MTU wa kulazimisha iwe naeshimu maamuzi ya kila MTU

Tatizo lililopelekea nianzishe Uzi huu baada kama ya miezi 6 tulianza kuonana na Huyu Dada akitoka ktk miangaiko yake njia anayotumia kurud kwake lazima apite hapa kwangu huwa anakwepa kugeuka au kupepesa macho uelekeo Wang na hii iko wazi nilidhani haki hii nime notice peke yangu nikaona nimshirikishe na jamaa wa jiran ili nijiridhishe ikiwemo kuondoa utata.

Wanabodi Huyu Dada itakua anatatizo gn kwann asiwe na amani maana huwezi kujilazimisha kumpend MTU ambae hayupo moyoni kwako au ananionea huruma mpaka kufikia haki ya kuogopa anaponiona

Najua kuna wanajukwaa washapitia haya mambo naweza tumia njia gan Huyu Dada kuwa comfortable sipendi kuona hakiwa ktk hali hii au niondoke maeneo haya tusiweze kuonana?
 
umetongoza mara moja tu umekataliwa na kufuta namba hapohapo, ama kweli kila mbuzi hula urefu wa kamba yake.
 
Jamaaa yangu siku zote wanawake sio sawa na wanaume katika kutafakali mambo ,yani ukijua jinsi wanawake walivyo basi haupati tabu.kula dodo hilo limeiva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom