Mchungaji adai ni rahisi kufanya ngono na msichana anayeenda kanisani kuliko asiyeenda; je ni kweli?

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Naileta kam nilivyoipata. INASIKITISHA NA KUFEDHEHESHA

MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE AMESEMA KUWA NI RAHISI KUFANYA NGONO NA WASICHANA WANAOKWENDA KANISANI KULIKO AMBAO HAWAENDI KANISANI.

Mchungaji wa Kanisa la Kipentekoste huko Afrika Kusini amesema kuwa ni rahisi sana kwa mhubiri kufanya ngono na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko ambao hawaendi kanisani.

Mchungaji Benard Pumalaka amesema hayo Jumatano iliyopita baada ya kuokoka.

Amesema kuwa wengi wanaojiita "Manabii" ni maarufu kwa ngono na wasichana na wake za watu.

Bernard alisema "kabla sijawa mchungaji wa Pentekoste, nilikuwa nimelala na watu wawili tu-mke wangu, na mwanamke mwingine mmoja tu.

Lakini nilipopata uchungaji nimelala na wanawake zaidi ya 200 ktk miaka kumi! Na nimepata utajiri mkubwa kwa kuwadanganya waumini wangu.

Nimejipatia fedha nyingi, magari na nyumba kwa kuwahadaa waumini wangu. Hakika sikuwa na Yesu ndani mwangu."

Mchungaji huyu aliyeokoka aliendelea kusema "Nawaeleza kuwa ni rahisi sana kwa nabii kuhadaa na kulala na wasichana wanaokwenda kanisani kuliko wale ambao hawaendi.

Ni rahisi kuwaibia waumini kuliko wasio waumini.

Ndo sababu utakuta wengi wa waumini ni maskini, lakini Nabii au Mchungaji au Askofu wao ni tajiri wa kupindukia."

Mchungaji Pumalaka aliendelea kusema "wanawake wengi huja kanisani kwa sababu ya shida zao na wala sio kuabudu.

Wanakuja kuomba utajiri au kuponywa magonjwa au kutafuta wachumba au kuomba kizazi na kadhalika.

Kwa bahati mbaya sisi Manabii tunachukua udhaifu na shida zao kuwatapeli pesa zao na kufanya nao ngono.

Lakini mimi leo nimeamua kutangaza hadharani kuwa nimeokoka na nitamtumikia Mungu wa kweli".

Mwishowe, Mchungaji Pumalaka alisema "Nawaambieni kuwa yeyote anayehubiri utajiri, fedha, kazi nzuri, afya tele nk. ni mwongo.

Nabii wa kweli anahubiri wokovu tu. Ni baada ya wokovu vitu hivi vingine vitakuja.

Yesu, Simon Petro, Paulo Daniel, Isaka na maelfu ya watu wa Mungu walihubiri wokovu tu, na wala siyo utajiri au miujiza."

Baada ya kusema haya, mchungaji Pumalaka aliwaeleza waumini kuwa 95% ya wanaojiita Manabii ni Matapeli tu.

Wanatumia nguvu za Shetani kuwaibia na kufanya ngono na waumini wao. Aidha 98% ya manabii hawana lolote bali ni bandia(fake) tu.

Baada ya kuungama, mchungaji Benard Pumalaka aliwatangazia waumini wake kuwa atauza mali zake zote na kuwagawia maskini na Kanisa. Alimalizia kwa kusema "ni bora kuwa maskini hapa duniani lakini tajiri huko mbinguni kuliko kinyume chake".

Je, Wachungaji wetu hapa Tanzania ni kweli wanahubiri wokovu
 
hilo ni kweli!mi huwa naona simple kutongoza mlòkole kuliko mpagani!mara nyingi mademu wa kilokole wanamigenye kinoma,sijui kwanini!!!?
 
Bernard alisema "kabla sijawa mchungaji wa Pentekoste, nilikuwa nimelala na watu wawili tu-mke wangu, na mwanamke mwingine mmoja tu. nani alimruhusu asee :)

NYAPU 200 ? jamaa katisha asee mimi nimekula kama 90 tu najiona mkali kumbe bado mwanafunzi
 
Mabinti wa kilokole ni wanafiki na waongo sana! Pia ni rahisi mno kuwahadaa na kuwabandua...
Nimewatafuna aseeh...
 
Bora kaongea ukweli, mengi yanakulikana kiwa ndivyo ilivyo.

Mwisho wa siku kila mtu na imani yake hata kama unaenda kanisa la nabii tapeli.
 
Back
Top Bottom