Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Habarini wanajamvi!
Leo nipo hapa kuwapa msisitizo wa jambo ambalo najua wengi mnalifahamu na pengine mshawahi lipitia.
Jambo lenyewe ni hisia kali sana za kimapenzi. Katu katika maisha yako usije ukafanya huu mchezo kwa maana unaweza kuleta madhara ya aina tofauti kwa muhanga na mbaya zaidi kumuharibu kiasaikolojia beyond repair.
Unapoona haupo serious kuingia katika uhusiano na mtu basi kuwa open naye ili kama atakung'ang'ania aingie at his or her own risk na sio unamjengea mtu picha kuwa mpo pamoja then ghafla unabadili plans.
Maumivu ya kifua huwa yanakuwa makali sana maana hata mimi nakumbuka nilishaumiaga daaah yaani hakulaliki hakukaliki maana maumivu yanakuzonga kichwani.
Utajaribu kwenda kutembea sijui wapi upoteze mawazo au utazame movie au uchukue gari uweke full tank ukazunguke tu bila route maalumu ila mara tu utaporudi na kutulia yanaanza upya au pale utakaposema labda unywe pombe ndio duuuuh bure kabisa, utakunywa utalala unaongea na kulia mwenyewe ila pombe zikikata maumivu yanarejea tena.
So before haujaumiza hisia za mtu hebu kuwa na utu na ujali basi atajisikiaje pale utakapofanya maamuzi yako ambayo yatamuumiza.
Nawasilisha.