Mume wangu ananitesa

Mume wangu ananitesa

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,296
Reaction score
9,611
Mimi nimeolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. Siku hizi mume wangu akija nyumbani anaanza kunigombeza bila sababu, ananipiga bila kosa, hataki kuniona, anarudi usiku sana nyumbani amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa, ananitukana matusi, yaani hapa nilipo sina amani na ndoa yangu.

Nishaurini jamani nifanyeje?
 
kitali

Ndoa yako ina muda gani? alianza pombe baada ama kabla ya ndoa?
 
Last edited by a moderator:
Ndoa yako ina muda gani? alianza pombe baada ama kabla ya ndoa?
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.
 
Mabati yanaficha vitu vingi, its so painful story,dada yangu hata sijui nikushauri nini
Anyways muombe Mungu ataibariki ndoa yako na itakuwa ya furaha na amani, hamna kitu kizuri kama
kuolewa au kuoa mtu ambae ukiondoa neno ndoa she/he is always u're bestfriend!!
Tusikurupuke kuoa au kuolewa pasipo kumjua mhusika kwa ukaribu na kwa undani!!
Mia
 
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.

Muwahi Huyo Kabla Hajatia Kiberiti Mlango,Kwani Ndio Dawa Yao Watu Kama Hao!!
 
Kama anakudunda hata sio sahihi,usikae kimya shirikisha wasimamizi wenu wa ndoa na ikibidi wazazi.mpango wa kupigana sio kabisa,au we ndio mkorofi sema vizuri usaidiwe vizuri.
 
Jaribu kumwona msimamizi wako wa ndoa wao watafute namna ya kuwakutanisha kwa mazungumzo

nilijarib kwa msimamiz wa ndoa ye2 akaja 2kaongea na akakir hatorudia ila usiku wake nilikiona cha moto kibano kwa kwenda mbele na kufungiwa mlango nikaenda kulala kwa mama mkwe wangu kesho yake akapanga safar na kuondoka akakaa siku mbil akarud ila moto niuleule yaana nyumban akisha rud hakukalik.
 
mim ni meolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. siku hz mume wangu akija nyumban anaanza kunigombeza bila sababu,ananipiga bila kosa,hataki kuniona, anarud usiku sana nyumban amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa,anani2kana matusi, yaani hapa nilipo sina aman na ndoa yangu, nishaurin jaman nifanyeje?

UACHE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''
 
Ungekuwa dada yangu ningeisha kushauri urudi nyumbani, sababu na wathamini sana dada zangu siwezi kukubali waishi hata siku moja na wanaume walio wapiga.

Afu cha kutazama hapa, Je siku hizi kuna wanaume bado wanapiga wake zao!

Hivi kweli wako, je kama wako tuwaweke kwenye kundi gani!!

BTW, kama mme wako ni mlevi rudi tu nyumbani kwenu, siku hizi nani anataka kuishi na walevi :biggrin1:
 
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.

aaah kumbe una mimba! tena utajifungua mtoto wa kiume..ni kipindi cha mpito tu atatulia..tatizo lako unataka kummiliki..kama ulijua ana kunywa kwa kujificha sasa tatizo liko wapi akinywa huku ukimuona???!! sioni tatizo..ni hofu yako tu
 
Muweke kwenye maombi, funga na kuombea ndoa yako
mkuu ushauri wako naukubali kwa %100 but sio mara zote mungu anajibu onspot subira pia yahitajika.
bidada jichubguze kama kweli bado unampenda na hauko tayari kuikosa ndoa yako, fanya hivi, mpotezee mazima akirudi home kuwa kama haupo' usimuulize la shari wala heri, usimwombe si kwa chumvi wala sukari. mfanye mumeo fenicha ambayo ikiwepo sawa haipo sawa.

akiuliza swali usimjibu lolote lile akinyanyu8a mkono ama teke kukupiga nawe nanyua pasi ya moto ama maji moto mmwagie nakwambia atafyata mkia huyo. tena uwe kauzu si mchezo usimwendekeze hata kidogo mpe masharti unataka maisha aina gani hatak basi mwambie asikujue na hata uchi wako usimpe. fanya hayo huku ukiwa unajipanga yaani hadi akushangae nani anayekuhudumia wala usifurukute mwez tu, wa pili anarudi mwenyewe na miguu yake.

mwenzio nilivyumilia sana ingawa sikuwah kupigwa hata kibao, lkn nilivaa sura ya kazi na kuhakikisha famnilia yangu iko njema namshukuru sana Mungu siku aliamua kumbadilisha alimbvadilisha and that now is past.

kama moyoni humtaki nakushauri just quit ili uwe na amani usiangalie jamii itasema nini ama itafanya nn na usitake ushauri wa wanaklamati wakati unapo qiut manake watakukatisha tamaa.
 
aaah kumbe una mimba! tena utajifungua mtoto wa kiume..ni kipindi cha mpito tu atatulia..tatizo lako unataka kummiliki..kama ulijua ana kunywa kwa kujificha sasa tatizo liko wapi akinywa huku ukimuona???!! sioni tatizo..ni hofu yako tu

Kwa nini anampiga mama mjamzito ..natamani nijue yuko wapi nimuweke ndani ...:A S angry:
 
MUNGU hakawii wala hachelewi kujibu.
MUNGU hujibu kwa wakati wake
mkuu ushauri wako naukubali kwa %100 but sio mara zote mungu anajibu onspot subira pia yahitajika.
bidada jichubguze kama kweli bado unampenda na hauko tayari kuikosa ndoa yako, fanya hivi, mpotezee mazima akirudi home kuwa kama haupo' usimuulize la shari wala heri, usimwombe si kwa chumvi wala sukari. mfanye mumeo fenicha ambayo ikiwepo sawa haipo sawa.

akiuliza swali usimjibu lolote lile akinyanyu8a mkono ama teke kukupiga nawe nanyua pasi ya moto ama maji moto mmwagie nakwambia atafyata mkia huyo. tena uwe kauzu si mchezo usimwendekeze hata kidogo mpe masharti unataka maisha aina gani hatak basi mwambie asikujue na hata uchi wako usimpe. fanya hayo huku ukiwa unajipanga yaani hadi akushangae nani anayekuhudumia wala usifurukute mwez tu, wa pili anarudi mwenyewe na miguu yake.

mwenzio nilivyumilia sana ingawa sikuwah kupigwa hata kibao, lkn nilivaa sura ya kazi na kuhakikisha famnilia yangu iko njema namshukuru sana Mungu siku aliamua kumbadilisha alimbvadilisha and that now is past.

kama moyoni humtaki nakushauri just quit ili uwe na amani usiangalie jamii itasema nini ama itafanya nn na usitake ushauri wa wanaklamati wakati unapo qiut manake watakukatisha tamaa.
 
Kwa nini anampiga mama mjamzito ..natamani nijue yuko wapi nimuweke ndani ...:A S angry:

Mai waifu alipokua mjamzito hua inatokea kipindi hutaki hata kumuona ..kumpiga itakua ni matokeo ya ujauzito tu..vinatokea sana ..mbona kawaida tu?!
 
Back
Top Bottom