Mrejesho namba 2: Siku 45 nje ya puli, aibu hii itaisha lini?

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
Habarini za Jumamosi ndugu zangu,

Siku si nyingi nilileta uzi humu unaohusu siku 30 nje ya puli, niliendelea kutunza afya yangu vizuri lakini siku ya jana nilijaribu kuangalia tena kwa kiasi gani nipo fiti lakini mabaya yafuatayo yalinikuta;

(1)Nilifanya mapenzi kwa zaidi ya dakika 60 lakini cha kusikitisha sikuweza kabisa kumwaga hata kidogo.

(2)Nazani hii ni fedheha sana kwangu kwa maana yule msichana huenda akawa amegundua mimi ni muhanga wa puli, lakini kwa upande mwingine inaweza kuwa amehisi mimi ni mtaalamu sana wa mambo yale.

(3)Nilipoona hakuna dalili ya kumwaga, niliamua kumwambia mpenzi wangu afanye kitu kinaitwa hand job, ndipo nikaweza kumwaga, nilijionea huruma sana.

Mwisho:p ule si mchezo rafiki kabisa, najiuliza itakuwaje nikija kuoa, sioni raha ya ngono kabisa, am so sad, wana JF naomba mwenye ushauri juu ya hili tafadhali.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom