Je, ni kweli ndoa za wasomi hazidumu?

Je, ni kweli ndoa za wasomi hazidumu?

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,139
Habarini wapendwa,

Hivi karibuni nimetoka katika mjadala mzito (mabishano) na mama wa jirani, mabishano yalianza kama mjadala wa sababu za ndoa nyingi kuvunjika, kilichonigusa zaidi, kipengele cha kiwango cha elimu baina ya wanandoa.

Madai anayotoa yeye, kuhusu kipengele hiki, ndoa ambazo wanandoa wanakua na kiwango sawa cha elimu au chenye ukaribu zaidi, huwa hazikai kwa muda mrefu kwa sababu kila mmoja hutumia elimu yake kama silaha katika kumuongoza mwenzake.

Je, ni upi ukweli wa jambo hili?
 
Yaaani nimetolewa knockout nimekimbilia huku, so hlli suala lina ukweli, it might be!!!!
 
Tena mwanamke akiwa na elimu mixer pesa za kumzidi mume ndio tatizo zaidi kwa kweli

Nimeshashuhudia mume kugeuka houseboy kwasababu ya kuzidiwa pesa na mke
Mmmmmmhhhhh so tatizo linakuwa kubwa zaidi kama elimu na pesa vikiambatana kwa mwanamke
 
Kuna ukweli mkuu...kila mmoja anajiona mjanja na anaweza kufanya lolote kwa sababu tu ameelimika, ndio maana wengine hushauri Muoane elimu mmeachana kidogo[/QUOTE
Vipi kama mwanamume akiachwa elimu? mambo yanaenda hapo kweli?
 
ndo maana me nimemchukua fom4 division4, tuko na raha mustarehe katika ndoa yetu,japo kuna changamoto ndogondogo za hapana pale ila ananitii nikisema jambo na nampenda.mwanzoni nilikuwa na mchumba mwenye Masters na usafiri wake wa nguvu,nilifikiria sana nikimwoa huyu atanikimbiza sana mjini na majamaa zangu watasema nimeogopa maisha,isitoshe alikuwa mkubwa kwangu
 
Mwanaume akiachwa kielimu nako ni shida mkuu..wanawake baadhi yao huwa na viburi, majivuno
Na ndiko hii maada hapa ilipo base, nimepewa condition hapa😀😀😀😀😀😀mana nimelowa kama mchele

kwamba, whenever nataka kuoa, niangalie
1. Umri,
2. Mali,
3. Elimu

Japo viwili kati ya hivyo niwe juu yake!!!
Naomba tuu tupeane madini😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 for free with no charge
 
ndo maana me nimemchukua fom4 division4, tuko na raha mustarehe katika ndoa yetu,japo kuna changamoto ndogondogo za hapana pale ila ananitii nikisema na nampenda.mwanzanoni nilikuwa na mchumba mwenye Masters na usafiri wake wa nguvu,nilifikiri sana nikimwoa huyu atanikimbiza sana mjini na majamaa zangu watasema nimeogopa maisha
Pole sana bro, ila najua sasa hvi kuna kakuku kwa mrija, vingine hivyo vidogo sana
 
Na ndiko hii maada hapa ilipo base, nimepewa condition hapa😀😀😀😀😀😀mana nimelowa kama mchele

kwamba, whenever nataka kuoa, niangalie
1. Umri,
2. Mali,
3. Elimu

Japo viwili kati ya hivyo niwe juu yake!!!
Naomba tuu tupeane madini😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 for free with no charge

Hivyo vitatu vyote muhimu mkuu
 
Back
Top Bottom