bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Ni muda mrefu sasa nimeamua kukaa kwa mbali kuona picha linavyosonga mbele (mapenzi). Hii ilitokea baada ya mimi binafsi kuona nimechoka kukimbizwa utadhani niko JKT..
Alaah! Nimekuwa nawapenda wadada ambao nadhani ndiyo watatuliza mtima wangu ila sasa matokeo yake naambulia mwendo wa mbwa kutrotii bila ata kupumzika muda wote mchakamchaka.
Ushauri wangu kwa wadada na wakaka ebu tuwapendeni wanaotupenda hakika hamtajuta binafsi namungojea anayenipenda aone nitakavyompenda mpaka ashangae.
ANGALIZI:
Kuweni makini wengine siyo kwamba wanakuwa wanawapenda ila walikosea maisha umri umewaacha wanajifanya kuwa na mapenzi ya dhati wambie warudi walikolia ujana wao.