Nimetafakari kuwa na mpenzi hapa chuo lakini ninazani hizi ndizo zitakua hasara kwangu

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana stress ,hasa kama kozi moja 3]out zisizo na msingi, nachoka kuwaona wasichana wengi lakini similiki hata mmoja daaa let me try,,,.
 

Wanachuo wa udom bhana, nawakubali sanaa,
Wanajua kuandika vizuri, kupanga aya , matumizi ya alama mbali mbali kama vile ] na [ n.k,

Shikamoo mwanachuo,
 
Nimeona avatar yako kwa mbali nikajua na wewe ni msichana unatafuta msichana.

Ila msichana huwa na mahusiano na mvulana na mwanaume huwa na mahusiano na mwanamke kama kweli unatafuta msichana basi kila la kheri mvulana
 
Back
Top Bottom