SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,812
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;
1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)
Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.
NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia
Bcc...#team_Mafisi#
UPDATE#23.11.2016
Aiseee mpaka leo nimesave 5m na nitajipongeza kwa kupandisha nyumba yangu angalau ifike kwenye lenta.
Michepuko Nuksi