Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210K
Threads
7.5K
Posts
210K

JF Prefixes:

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Poleni kwa kuchoma mahindi, la kumshukuru Mola leo tumeendelea sio kuendekeza lawama za kwanini nilipotea. The Gay Client. Sasa nikiwa na muwaza huyu mtu mzima...
12 Reactions
109 Replies
22K Views
Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dira tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.Badilikeni.
3 Reactions
54 Replies
16K Views
KABLA HUJAFUNGUA MDOMO WAKO , SHIRIKISHA AKILI YAKO Kabla hujafungua mdomo wako, kwanza shirikisha akili yako. Kufungua mdomo kabla ya kushirikisha akili ni chanzo kikubwa cha matatizo yako na...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Marafiki ni watu wazuri sana ila ni watu wabaya sana ukikosea katika kuwachagua maana unawezajuta maisha yako yote.Mwanamke mwenzangu ulieolewa sio kila mwanamke ni wa kuwa nae rafiki hasa baada...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Ndugu wanaJF nikiwa katika harakati za kutafuta mchumba katika mkoa wangu wa Mtwara nimebahatika kukutana na mabinti 4 lakini wote tumeshindwana yaani wawili ni tofauti za dini mimi mkristo na wao...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI? Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni baraka na jambo la...
3 Reactions
45 Replies
13K Views
Wadau nawasalimu, Nashukuru kwa ushauri mlionipa jana kwenye habari hii yahttp://www.jamiiforums.com/threads/mke-wangu-hapendi-kuongozana-na-mimi-barabarani.994983/#post-15025211 kwa tatizo...
14 Reactions
142 Replies
16K Views
Nimefanya utafiti mtaani na vyuo vikuu nimegundua kuwa kuna mabinti wengi wanabeba mimba kabla ya ndoa wengi ni mabinti wadogo sana, nikarudi nyuma kidogo ilikuwa ni vigumu kumkuta binti anabeba...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Wadau nawasalimu, Mtu mmoja humu jamvini katika mkasa wake alitaja kuwa mahusiano yao yana umri wa 3 yrs, watu wakawa wakali wakiuliza 3 yrs yote hiyo mnasubiri nini hasa? Haya mdau mwingine...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Strength of the women love!
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani salama, Uku tukingoja matokeo nina swali lanitatiza sana. Ndoa ni nini? Kwanini watu uwa wanapendana sana kabla ya ndoa lakini wakisha oana ndani kunakua na ugomvi na chuki? Je, wakae...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za leo wadau, Kuna movie ijulikanayo kwa jina la 'Why did I get married too' ni nzuri sana, kwa wale ambao hamjabahati kuiona tafuteni muicheki, kwakweli ni nzuri sana inafundisha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari pipoz, Hivi inakuwaje maana mie hata sielewi unakuta mtu na mkewe wanaishi na wanawatoto wawili au mmoja. Mke ni mama wa nyumbani na mume ni mtoka asubuhi akapambane na kilicho mbele yake...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya; 1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza...
6 Reactions
141 Replies
17K Views
Ubinafsi ni tabia ya kufanya mambo huku ukitanguliza maslahi yako mbele bila kujali mtu uliye karibu naye. Ni kweli kwamba kujipenda kwanza ndio jambo la msingi lakini tafsiri hiyo haipaswi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MACHOZI Machozi ni maneno ambayo moyo hauwezi kuyaeleza.Machozi ni hisia kubwa sana inayotolewa na mtu, inaweza kuwa furaha au inaweza kuwa huzuni.Hakikisha unaleta machozi ya furaha kwa watu...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi. Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
  • Poll
habari zenu wadau, naamini wengi wenu ni wazima na buheri wa afya kama ukiweza kufika kusoma mada hii. niende kwenye mada tajwa. Kumekua na wimbi kubwa la wanandoa wengi kutoka nje ya ndoa zao...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
....hili jambo nmekuwa nikilitafakari muda mrefu sana lakin mwisho wa siku naangukia kwenye jibu moja....sitokuwa nakosea sana nikisema MAPENZI & PESA ndo vitu vinavyoiendesha hii dunia ya...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni mtoto mdogo hajavuka 18 sema maisha yamemchapa. Ni mwaka na nusu tangu nimjue ni yule msichana hanaga makao ya kudumu zaidi ya kudandia. Sasa katokea Bwana anataka amuweke ndani walikutana...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom