Kipenda roho..

Kipenda roho..

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu, chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu, kwenye mvua matope si ndumba oh, yasikufanye uchoke mchumba oh, wanapanga maneno kama chati za kumi bora, kuupima upendo ni hatari

Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu,,nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu,tulishinde lengo lao lisitimie…

Ukitazama malengo haukosei, haupotei kwenye love,wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri
mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe, angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii

For the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu,,your my NGO tusimame babe.
Black-Couple-Sleeping.jpg
 
Kwenye hiyo picha ya walolala ni kama mrembo wa kisukuma MBITIYAZA Au majivho yangu yanaona kengeza?
 
Mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu, chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu, kwenye mvua matope si ndumba oh, yasikufanye uchoke mchumba oh, wanapanga maneno kama chati za kumi bora, kuupima upendo ni hatari

Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu,,nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu,tulishinde lengo lao lisitimie…

Ukitazama malengo haukosei, haupotei kwenye love,wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri
mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe, angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii

For the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu,,your my NGO tusimame babe.
View attachment 591155
Naona umepata liwazo la moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom