Kusamehewa sio kibali cha kuendelea na makosa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Kusamehewa hakukufanyi wewe uendelee na makosa eti sababu unajua kuwa utasamehewa. Unapoomba msamaha maanisha unachokisema na dhamiria kutoka moyoni kutokurudia tena kosa na epukana na mazingira yaliyokufanya ukatenda kosa hilo.

Kuna watu kwa makusudi wanafanya makosa na kuyarudia wakijua kuwa wenzi wao watawasamehe sababu ni wepesi kusamehe. Unakuta mtu anafanya uzinzi, anasamehewa, anaendelea na wala hajali, au mtu anampiga mke wake, anasamehewa na anaendelea tena na tena.

Kusamehe hakumaanishi kuwa mtu upo tayari kuhatarisha maisha yako. Unaweza kumsamehe mtu anayekupiga lakini ukajitenga mbali naye sio sababu hujamsamehe bali kwa usalama wako watoto kama wapo na yeye pia maana anaweza kukudhuru akaishia gerezani, mpaka pale atakapoamua kweli kubadilika. Kusamehe hakumaanishi kuishi katika mateso.
 
Zombokoko source ya hii information yako please
 
somo zuri hongera bibie
 
Ni kweli kabisa usemayo ila bahati mbaya, kuna watu wanachukulia forgiveness kama weakness
 
Kusamehewa hakukufanyi wewe uendelee na makosa eti sababu unajua kuwa utasamehewa. Unapoomba msamaha maanisha unachokisema na dhamiria kutoka moyoni kutokurudia tena kosa na epukana na mazingira yaliyokufanya ukatenda kosa hilo.

Kuna watu kwa makusudi wanafanya makosa na kuyarudia wakijua kuwa wenzi wao watawasamehe sababu ni wepesi kusamehe. Unakuta mtu anafanya uzinzi, anasamehewa, anaendelea na wala hajali, au mtu anampiga mke wake, anasamehewa na anaendelea tena na tena.

Kusamehe hakumaanishi kuwa mtu upo tayari kuhatarisha maisha yako. Unaweza kumsamehe mtu anayekupiga lakini ukajitenga mbali naye sio sababu hujamsamehe bali kwa usalama wako watoto kama wapo na yeye pia maana anaweza kukudhuru akaishia gerezani, mpaka pale atakapoamua kweli kubadilika. Kusamehe hakumaanishi kuishi katika mateso.
Itafika muda nitagoma kuoa kusema kweli..!
 
29710623c4f632603625bec073fdfa52.jpg
 
Hivi bado watu wanasameheana siku hizi! Give another chance will kill you....
 
Back
Top Bottom