Unajua nini mazee!! Is simple as to push a drank man

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,079
Reaction score
45,279
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kuna vitu na kuna watu rahis sana kuwapata katika mapenz

Twende pamoja na beira baby boy

WAKE ZA WATU hawa ndo watu rahis namba moja kuwapata na huwa hawana kuvunga wenyewe wanachotaka ni kupigwa mikas na hawana gharama maana gharama zote humaliza jamaa aliyemuoa

WATOTO WA GHETI KALI hawa nao ni watu rahisi kinoma noma na mara nyingi ahad zao hazinaga uongo uongo na zinakuwaga za jumapil au siku ambazo wako likizo ki masomo, nao hawanaga gharama kama vicheche

WATOTO WAKAL NA WAZUR MATATA. Hawa mara nyingi hawanaga watu maana watu wengi huwa wanawaogopa kuwatokea kutokana na uzur wao. Vijana wengi huishia kula kwa macho kwa watoto wazur wakiogopa endapo watawatokea wanaweza kutoswa, kumbe sio mazee hawa watu huwa ni rahis sana yaan maneno mawili matatu tu tiar anaingia kingi

Watoto hawa wazur wazur mara nyingi huwa wanapenda kupitiliza

Ngoja nikupe siri ya ushindi
Siku akiingia gheto usifanye mzaha mzaha wala usiwe na haraka haraka na mapepe mapepe, hakikisha unamwagizia kimwaji anachopenda na ukiwa naye unatakiwa uwe na adabu ya hali ya juu sana

Usiwe na papala hata kidogo wala usiwe na haraka ya kupiga mechi mshike shike mikono ukiwa unapapasa vidole vyake huku ukimtizama uson mkis shavu moja ukipenda la kushoto au kuria, mkis tena lips zake lazima ataongea vimaneno visivyoeleweka, msugue sugue kwa kutumia ulimi wako kwenye lips zake huku ukiwa unajaribu kuuingiza ndan lazima naye atatoa wake akitoa ulimi wake hamaia maeneo mengine hamia shingon lamba lamba shingo lake kama unatafuna mua akilegea hamia masikion lamba masikio yake kwa stail ya kuyauma uma huku ukiingiza ulimi ndan ya sikio kama unafanya tendo la ndoa yaume ume masikio yake huku yeye akiwa kajikunja kama kuku anayesubiria kuchinjwa, ukiwa unafanya yote hayo hakikisha mkono wako uko unachezea kifua chake. Papasa kifua chake shuka kidogo hadi maeneo ya kitovu kitovu papasa kilafi mazee

Then muache siku hiyo pasipo kufanya chochote aende zake

LONDON BABY
 
Tukutane hapo ijumaa kwenye show la kibabe la BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA
 
Hayo yote uwe unafanya huku ukiwa umeshaambatanisha na Muamala na ujiandae kwa lolote kiusalama
We jamaa bhana kwahiyo wewe unajua mademu wote wanapenda pesa kuna wengine hawana njaa
 
usidhani hivyo vyote ulivyoelezea vitaenda simpo tu, vingine unaweza kuta unategewa mtego kama fumanizi hivi...kwa hiyo KY, mapanga, Kutoa hela na kifinyo lazima ujiandae navyo kama matokeo
Hahahahahaaa jamaa kumbe wewe ni muoga sana
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kuna vitu na kuna watu rahis sana kuwapata katika mapenz

Twende pamoja na beira baby boy

WAKE ZA WATU hawa ndo watu rahis namba moja kuwapata na huwa hawana kuvunga wenyewe wanachotaka ni kupigwa mikas na hawana gharama maana gharama zote humaliza jamaa aliyemuoa

WATOTO WA GHETI KALI hawa nao ni watu rahisi kinoma noma na mara nyingi ahad zao hazinaga uongo uongo na zinakuwaga za jumapil au siku ambazo wako likizo ki masomo, nao hawanaga gharama kama vicheche

WATOTO WAKAL NA WAZUR MATATA. Hawa mara nyingi hawanaga watu maana watu wengi huwa wanawaogopa kuwatokea kutokana na uzur wao. Vijana wengi huishia kula kwa macho kwa watoto wazur wakiogopa endapo watawatokea wanaweza kutoswa, kumbe sio mazee hawa watu huwa ni rahis sana yaan maneno mawili matatu tu tiar anaingia kingi

Watoto hawa wazur wazur mara nyingi huwa wanapenda kupitiliza

Ngoja nikupe siri ya ushindi
Siku akiingia gheto usifanye mzaha mzaha wala usiwe na haraka haraka na mapepe mapepe, hakikisha unamwagizia kimwaji anachopenda na ukiwa naye unatakiwa uwe na adabu ya hali ya juu sana

Usiwe na papala hata kidogo wala usiwe na haraka ya kupiga mechi mshike shike mikono ukiwa unapapasa vidole vyake huku ukimtizama uson mkis shavu moja ukipenda la kushoto au kuria, mkis tena lips zake lazima ataongea vimaneno visivyoeleweka, msugue sugue kwa kutumia ulimi wako kwenye lips zake huku ukiwa unajaribu kuuingiza ndan lazima naye atatoa wake akitoa ulimi wake hamaia maeneo mengine hamia shingon lamba lamba shingo lake kama unatafuna mua akilegea hamia masikion lamba masikio yake kwa stail ya kuyauma uma huku ukiingiza ulimi ndan ya sikio kama unafanya tendo la ndoa yaume ume masikio yake huku yeye akiwa kajikunja kama kuku anayesubiria kuchinjwa, ukiwa unafanya yote hayo hakikisha mkono wako uko unachezea kifua chake. Papasa kifua chake shuka kidogo hadi maeneo ya kitovu kitovu papasa kilafi mazee

Then muache siku hiyo pasipo kufanya chochote aende zake

LONDON BABY
Hapo kwa wake za watu jiandae kutatuka marinda mkuu
 
Nyuzi ka hizi hazistahili kuwemo hata kwa dakika tano..

Ukiandika nyuzi za maana zinaondolewa ila hizi zenye ukakasi zinaachwa
 
Eti eee...wewe jiaminishe hivyo...mi nakwambia bila pesa utaishia kuita shemeji au kula kwa macho
Pole sana mzaz siyo kila manz anapenda hela nyie ambao huwa mnatongoza kwa money mara nying huwa mnachezea mtoso
 
Back
Top Bottom