Hawa wanawake hawa, nauliza swali;
Kipi bora mwanamke malaya?
Mwanamke mchawi? Au mwanamke mwizi?
Huyu girlfriend wangu wa Tanzania uko hajui sina mda naye tena maana amefanya mambo mengi mno ya...
Leo inabidi tujadiliane hili, ewe mwanaume unae mfuatilia demu wiki, mwezi, mwaka mpaka miaka inakatika mi sikukatishi tamaa nimekuja na huu uzi kwaajili yako.
NB:Kwa sasa hakuna dem ambaye hana...
Hello there guys....
To the point.
Kuna hichi kitabu kinaitwa " The Marriage Institution and Other Related Subjects by Paul Wilson " kuna anayekifahamu na aliyekwisha kisoma ?? Seems kina nondo...
Hili jukwaa nalipenda sana kila siku lina visura vizuriii sasa naomba mrembo mmoja wakuongea naye pale kwenye hotel maarufu ya kitalii ila usije kuleta mambo ya kiswazi ukaomba mzinga wakonyagi...
Napita sehemu nikasikia mhubiri anahubiri kwamba nyumba ndogo ni nyoka. Nikatafakari sana hilo neno.
Kumbe inawezekana kabisa kuna nyumba yanaishi manyoka tupu, kwa sababu yawezekana baba mwenye...
Guys kuna kitu kinanipa mawazo hatari. Wote mnajua lazima kugombana na kupishana kauli kupo katika maisha hasa ya wawili walioamua kwa dhati kulala bila nguo kisheria, lazima siku moja utanuniwa...
Kwa wote,
Kama wewe hapo ulipo ulipendana na mwanaume mkatarajia kuoana na mwanaume na baada ya kuoana, baada ya siku mwanamke ukaja kujua kama mumeo hana kipato kizuri, hana uwezo wa kujenga...
Hili nililisikiaga kwa muda mrefu kuwa wasichana kawaida yao hutupia na kunukia wanapokua nje kitu kitachokufanya uwaze anaishi kwenye kasri lakini ni kinyume vyumba vyao viko rough kinoma.
Kwa...
Wanasema kwamba.....
Wanaume wa Temeke
Wanaongoza kujua kufanya mapenzi japo hawana Pesa
Wanaume wa Ilala
Wanaongoza kwa kuwa Wavivu Kitandani pindi wanapokuwa wanafanya Mapenzi
Wanaume wa...
Sikuwahi kujua kama mapenzi yanaweza jeruhi kiasi hiki aisee, kiasi cha kuona dunia imesimama. Nilikuwa tu nasikia na kusoma tu kama hadithi. Dah mtu uliyempa Moyo wako kwa dhati kabisa yeye...
To you my love,
Today marks the first year of our marriage together. A year that was filled with such wonderful memories. I have never felt more complete, more secure and more loved than i have...
Hellow wakuu...
Kuna tabia kama tano zimekuwa zikinikera sana pindi ninapojaribu kutaka kufanya communication na watu kupitia mitandao yangu ya kijamii kama facebook,instagram,jf,twitter
Jambo...
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.
Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu...
Ni muhimu sana tena ni lazima kusimama na mwenzi wako inapotokea kupishana maneno kati yake na ndugu yako/zako.
Mwenzi wako amewafahamu na kufahamika na ndugu zako sababu yako, wewe ndiwe mwenye...
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya...
Habari zenu wana jamvi, kuna kisa kinanichanganya naombeni ushauri wenu.
Kuna rafiki yangu amekua na boyfrend huu ni mwaka wa 9 ni tangu wako chuo shule. Walivyomaliza shule mdada akapata kazi...
Mambo vipi wadau?
Mimi niko fresh, ebana kuna hii mentality kwamba mapenzi ni kubembelezana, kupet petiana na kupleasiana kama tamthiliya za kikorea na kibrazil.
Sawa ni vizuri saana kumpet na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.