Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wa JF, Ma great thinker, hebu tuichambueni hii na kuidadavua sayansi inatuambia kwamba kuna siku za kutegea ili upate mtoto wa kike au wa kiume lakini ukiangalia kiuhalisia hii kitu hamna...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha; 1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na...
9 Reactions
110 Replies
8K Views
Kama kawaida yangu mwezi wa kumi napataga likizo ,nikamwambia Mr John twende Tanzania upaone ,akasema sawa anataka msichana wa kuwa naye kama kampani Jana tukafika airport kutokea Singapore...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu Mimi ni kijana Handsome nnayevutia kwa kila mwanamke apitaye mbele yangu. Sina ajira kwa sasa yaani naishi kwa akili ya mjini Lakini kuna kitu kinaniboa sana hasa hawa wanawake...
21 Reactions
100 Replies
9K Views
Kuna jamaa yangu kuna mwanamke mmoja alikuwa anamfatilia karibia miaka minne akimtongoza lakini huyu mwanamke alimkata Mshikaji na Mshikaji amefatilia mpka kachoka kwa kipindi cha miaka minne...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Usiku wa leo housegirl wa mama mwenye nyumba kaja mwenye we geti kaja kunitega,yani kaja na kanga moja na chupi kwenye bega anadai anataka tucheki muvi kwa ushenzi nikamuekea muvi inaitwa love...
3 Reactions
113 Replies
8K Views
Habari zenu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Mimi ni mdada mwenye elimu yangu, kazi zangu na malengo mazuri nikipata uhai na kibali cha Muumba.Nilipata mpenzi ambaye tumedumu nae kwa mwaka...
3 Reactions
94 Replies
11K Views
Nashukuru kwa ushawishi
1 Reactions
41 Replies
4K Views
I’m willing to bet that you’ve rejected a ton of women without even realizing it. Don’t believe me? Let me explain how: When a woman is attracted to you she’ll give you some signals, consciously...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Fahamu baadhi ya mambo ambayo watoto wengi hufanya, ambayo yana faida kubwa sana endapo yakifanywa na mtu mzima, mambo hayo ni kama yafuatayo_* [emoji736] mtoto au ukamwadhibu bado hapotezi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Utafiti uliochapishwa katika Jaida la British Journal of Psychology, ulibaini kuwa wanaume huwachukulia wanawake ambao ni warembo kama vyombo vya starehe tu. Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wengi...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Habari zenu wapenzi? Poleni na majukumu!!! Naomba nieleweshwe hili, katika mahusiano ya uchumba/ mke, mwanaume hupenda mchumba/mke wake a behave vipi? Ni vitu gani mwanaume asivyovitaka kwa kwa...
7 Reactions
122 Replies
16K Views
Ni mkeo wa ndoa, unampenda sana, unamtunza na unamjali, kwa kila hali. Mara paap unamkuta kitandani na lijamaa linamwaga uno hatari, kibaya zaidi mkeo anampa kwa style ambazo wewe ukimuomba...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Dear friends whoever took the time to read this, I just wanted to remind you that you are unique, beautiful, amazing and smart, because sometimes you forget, I did for quite some time. If you're...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
SIFA 15 ZA KIJANA AMBAYE HAJAKOMAA KWA AJILI YA NDOA ♨♨♨♨♨♨ 1. Anaigiza maisha. Anataka kuonekana amefanikiwa kimaisha, hajui kuwa anajidanganya mwenyewe. 2. Hana mipango inayoeleweka, anajua...
9 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari za usiku wanandugu, Kama heading ilivyo, mimi ni kijana ambaye bado sijawa economicaly stable, ila nilikuwa na idea ya kuzaa mtotoo na mwanamke ambaye Mungu akijalia ndo atakuwa mke wangu...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwanamke uliyepewa heshima ya kuolewa hupaswi kumchunga mmeo ikiwa hudum zote za kimwili na kidunia unapewa bila longolongo. Kuitwa/kuzaliwa mwanaume siyo maana yake kukaa sebuleni na mke wako...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili Husika na kichwa cha habar hapo juu Niko hapa dar kwa siku mbili tatu hivi kuna mambo fulan nimeyafatilia hapa na yakikamilika nageuka siku yeyote ile...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Matofali 10 ya ndoa bora! 1.Lazima ujue kwamba wewe ni mke na ni wajibu wako kushuka na kumtii mumeo “enyi wake watiini waume zenu kama kutaniko linavyomtii Kristo Yesu” 2.Lazima ujue kwamba...
7 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…