Kulainisha mikono

Kulainisha mikono

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
332
helloooooooooow

Kwa anaejua dawa, sabuni au mafuta yoyote ya kupaka mikono iwe laini aweke hapa please. Nahitaji kusolve hilo janga mahali.

Enjooy
 
Kwani mikono yako ikoje mpaka utake kulainisha?
 
Isije kuwa ndo misamiati ya nyie vijana
...........
 
images




images



images


​Upo hapo????
 
osha mikono na maji ya vugugvugu...
kausha jimwagie vinager kwenye mikono ..
jinyunyuzie baby powder kila siku baada ya kazzi baada ya dk 10 jioshe na maji ya vugu vugu. pamka lotion yeyote yenye moisture
 
osha mikono na maji ya vugugvugu...
kausha jimwagie vinager kwenye mikono ..
jinyunyuzie baby powder kila siku baada ya kazzi baada ya dk 10 jioshe na maji ya vugu vugu. pamka lotion yeyote yenye moisture

Thank you mkuu, I appreciate!
 
Kama ugumu unatikana na kazi unazozifanya sidhani kama utafanikiwa kulainisha, vinginevyo ushauri wa Display Name ni wa manufaa

kwa nini nisifanikiwe mkuu, ndo maana uzi upo hapa watu wana majibu
 
Huku kulainisha mikono huku mmh wewe ni me au ke?
 
Jibu swali mkuu!!acha rongorongo!! kama ni mwanaume na unataka kulainisha mikono duuu????:tape:haya bana all the best!!!

hahaa,,ungekuwa na akili ungejibu swali lililopo kwenye uzi kwanza wewe, acha longolongo!!
 
Back
Top Bottom