Wanaume wote mlio oa, hongereni sana.

Wanaume wote mlio oa, hongereni sana.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Habari ya jumamosi wakuu.

Naomba niwapongeze wanaume mlio kwenye ndoa, mlio oa wapenzi au wachumba wenu.

Nawapongeza zaidi hasa wale mlioweka nadhiri kwa wapenzi wenu na mtaitimiza hiyo nadhiri ya kuwaoa.

Najua ni jinsi gani ilivyo ngumu hasa kutekeleza ahadi, hasa ahadi ya kuona

Sijawahi kua na mawazo ya kuoa ila nikakutana na binti mmoja, akaonyesha kua she is extra ordinary woman, akatumia nguvu yake ya ushawishi hadi kunishawishi na kunitamanisha kumuoa, kama mnavyojua wanasheria wanasema every general rule has exceptions

Nimejaribu kuweka nadhiri ya kumuo huyo binti lakini changamoto nazokutana au kabiliana nazo ni nzito sana, zinapelekea hadi natamani kuvunja nadhiri yangu.

Nimeamini sasa kua hadi mwanaume anatiliza ahadi yake ya kuoa hua ameputia changamoto ngumu sana na akazishinda.

Najua wanaume wenzangu magumu mlio pitia na mkayashinda hadi mkafikia hatua ya kutimiza ahadi zetu(wanawake wanaweza kua hawaelewi hili jambo).

Mimi hii nadhiri yangu inaelekea kunishinda, ila napiga moyo konde niyashinde majaribu ambayo hayana budi kuja.

Hongereni sana wakubwa, I wish hiki kikonbe kiniepuke ila I push myself na naamini hii battle ntaishinda.
 
Kumbuka tu wapo waliolipiwa mahari na wapenzi/wake zao. "Every general rule has an exception".
 
oa kijana kulala uchi ni raha
 
Yaelekea unachagua sana mkuu ila kaa ukijua hutaweza kupata mwenza mwenye vigezo vyote unavovitaka kwa 100% sababu hujamuumba wewe! Angalia kwake vitu vya msingi ambavyo wahenga mamboleo wanaita wife material..... Wahenga wa zamani walisema mchagua nazi hupata koroma na kuchamba kwingi........
 
A 100% perfect woman ni mama yako tu na huwezi kumuoa,achana na uchumba sugu oa tu mkiweza kuishi shukuru Mungu,mkishindwa basi.
 
Sio lazima umuoe. Ni mara mia ukamuacha sasa ili baadaye kila mtu awe na furaha aliko kuliko muwe pamoja wakati hamjashabihiana
 
Hata wewe pia hongera sana kwa kuwa mvumilivu wengine huo moyo ulishapotea
 
Kaka kubali kataa NDOA nitamu sana haswa malengo, matazamo,matarajio,upendo uliochanua - na kumtanguliza MUNGU weeee ukweli kuna rahasana,ingia mdogo wangu mungu atakuongoza.
 
Back
Top Bottom