Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

Discussion in 'Love Connect' started by PSYCHOLOGY, Jul 1, 2011.

 1. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamvi la JF!.
  Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba ninae mke wangu anantosha. Maana jamii kubwa siku hupewi msaada lazima mwisho utadaiwa ngono...ama ww unaesaidiwa ili uwekeze zaidi utagawa.
  Sina niya mbaya mwenzenu. Nimezoea kila nkiwa safarini nje ya nchi na marafiki zangu...moyo wakusaida/kusaidiwa.
  Nawakilisha.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,442
  Trophy Points: 280
  Hongera zako kwa moyo wako wa kusaidia.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa huyo atakua mpenzi au rafiki utakaemjali?!Mkeo karuhusu?!
   
 4. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unafikiri tutaamini sababu unatumia jina la saikologia.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Huu mtego watanasa wengi lol
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahaah haya wale wa kusaidiwa mjitokeze kwa wingi,kazi kwenu lakini!
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,442
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha Shosti we vipi? mbona unajiengua? hahahahah lol! hutaki msaada weye!? :)
   
 8. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,807
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama ni misaada mbona vituo vya watoto yatima vipo kibao? Kwani huyo Mkeo ni mpenzi wa ku-do nae tu??? Kwamba hawezi ku-cover hiyo pati nyingine ya Mpenzi?? What exactly do you what to gain from that Mpenzi wa kike ambae hutaki ku-do nae?? Mkeo anafahamu?? Acha hizo, tafuta defination ya Mpenzi uone kisha uache uzushi!
   
 9. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu boss na mkuu shosti mmekimbia post yangu.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mimi sikukimbia,but nimeona kama wa kitchen party hivi
  nikashindwa cha kuchangia...lol
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  shosti inabidi ajiengue
  yeye uhusiani bila bakora hawezi.....
  Yeye bora bakora za kutosha,na pesa asipewe...lol
   
 12. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  acha kunikejeli kichen pati ningeweka kwa wakubwa.
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nna upendo wa rohoni mie,mambo mazuri nawapendelea wenzangu...
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,442
  Trophy Points: 280

  hahahahah lol! Ni kweli kabisa nimeiona hiyo thread yake. Anataka bakora za kutosha kabisa :) Bora amejiengua na mapema :) vinginevyo mapenzi ya hivi asingeyamudu kabisa
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahhhahahahhahaha hii kali kuliko...ushanchapa nini!
   
 16. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,807
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Umemshtukia na wewe eheeee......ajenda yake huyu jamaa ni nini?? Anataka aje kugombea vitu maalum ktk kundi la wanawake nini??? Maana watu wamegundua siku hizi ukigusa Wanawake na Watoto basi wewe ndio Yohana Mbatizaji...hahahah...!!!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  sasa unaona tatizo lako?????
  Usipomuelewa mtu unamjibu kwa hasira....
  Sikukejeli,seriously.....nimeona unamjibu shosti as if ndie mgomvi wako
  so hapo ntachangia nini?????
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhh dogo aliiba password
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  nilitaka nijaribu
  but nilipoona chini ya bakora nane husikiii
  nikaona bora kwanza niendele na gym kwanza
  sasa nimefikia uwezo wa bakora 6 lol
  nikifika kiwango nakutafuta lol
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,442
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahah lol! We mchokozi kumbe hahahah lol! Unaweza varangati?...shauri yako! mie simo :)
   
Loading...