Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Habari za Jumamosi Ndugu zangu!, Ni tumaini Langu kuwa wote mko vema!
Bila kupoteza leo nakuja na Mada ya kujenga Hasa kwa sisi vijana yaani wake kwa waume!
Kwa Dada zangu!
Kama unampenda mwambiee.,..usikae nalo moyoni!
Sahau yaliyopita na yasikuumize tena....Go Forward don let your Past affect your Future!
Acha sasa kuangalia sana kuhusu muonekano na Pesa!
Elewa thamani yako sasa dada yangu!
weka mipaka yako, huu ndio muda wako sasa!
Penda kusikiliza sana kuliko kuongea/msemaji!
mwisho wahimize na wengine wafanye the same!
Kwa Wanaume Wenzangu!
Acha kujisifu sifu, muda huo umeisha kwako sasa!
Maisha yako ya uhusiano yaweke kuwa siri!
Acha kujidai kama unae kila kitu!
Jifunze Namna ya kuheshimu wanawake!
Kuwa Mwaminifu kwa Mwenzi wako sasa!
Chukua Biblia usome sasa!
Mwishowe wahimize wengine the same!
Nawatakia Jumamosi Njema!
Ni mimi: TheMason