Umesafiri, haupo nyumbani.
Usiku unampiga simu mke wako umjulie hali hamjaongea kutwa nzima. Ile mmeanza tu kuongea, mara paaap, wife anakwambia kwa papara huku akihema kwa nguvu "samahani baby...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne + college certificate ya fani ya IT(information Technology)
ni mweusi na mwembamba kiasi
Natafuta mpenzi wa kike mwenye umri...
I am confused about my mental state. When I see a person winning a running race, my mind starts craving to be a good runner. Whatever great ability I see in others, I want to have it in abundance...
Kijana amepangisha chumba, ndani ya ile nyumba kuna bwana ameajiriwa serikali ni au shirika la umma. Si haba ameoa mke mrembo na anamudu kubadilisha mboga.
Kijana wewe unatumia nguvu ya ziada...
Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo...
Love Poem: Soon I will die.
If you hold on with hurting,
despite of my bleeding,
and deep crying,
soon I will die.
If you go on with rudeness,
pressing my heart like a button,
shooting me like a...
Wakuu,
Siku moja nilitoka kwenda mpirani lakini bahati mbaya katika pilika pilika nikasahau kilonga longa changu. Basi bwana Mungu si Athumani nimefika Salama salimini mpirani na washikaji wangu...
Ananisimulia Rafiki yangu xxxx xxx...
Aisee wakuu, jana nimepatikana bana, kuna manzi mmoja tulipeana phone # sasa tukawa tunafanya convo za kutosha.
For over three of four days tumekuwa kwenye...
Amani kwenu,
Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe.
Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila...
Ni mapenzi ya kweli na yanayogusa shina la moyo, hii sio "Mpaka kifo kitakapotutenganisha!"
Heartbreaking: Thai Man Marries Dead Girlfriend
In this tragic love story from Thailand, a man...
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuniokoa katika hili. Amen
Ikiwa ni mida ya SAA 5 usiku, nashuka zangu kituoni(Tabata Bima), nikitokea zangu huko Victoria(GEPF) nilikokua nafanya kazi(temporary)...
kuna utafiti naufanya wakuu na uko katika final stage.
So Naomba kuuliza,hivi wanawake wa mkoa wa Darisalama huwa mnatuchuliaje chukuliaje sisi wanaume tusiokua na magari hapa mjini?
Hii tulikuwa tunaongea mahala fulani kama stori tu wakati mkiwa kazini.Kwamba kutokana na matatizo ya uzazi hasa wale waliopo kwenye ndoa inafikia hatua kwamba mwanaume hasa mwanaume au mwanamke...
Wakuu salama.
Baada ya kuumizwa katika mahusiano tangu mwaka jana mwezi wa pili,sikuwa nimepanga wazo la kuoa wala la kuwa nademu permanent.
Sasa banaa ee nimekutana na binti mmoja hivi,huyu...
Hello,
FAHAMU MAHUSIANO YAKO KAMA YANA BENDERA NYEKUNDU
Mahusiano yeyote yanaweza kuwa hatari kwa wakati wowote, mahusiano mabaya sio tu yale ambayo yamefika mwisho na kutengana kwa...
Heshima kwenu wakuu,
Mimi nashukuru Mungu kwa kutupa hawa wanawake, lakini wanatupa mateso tabu na kutuweka matatizoni sisi Wanaume. Tunajua Mungu hajakosea kuwaumba, lakini wanatuweka kwenye...
Habari JF,
Ofisi iko juu, floor kadhaa sasa nyuma kuna mtaa!! Kuna mojawapo ya nyumba iko vizuri sana ila wakaamua kujenga nyumba ya uani, kwa sasa ipo kwenye 'linta' haijapauliwa bado.
Mchezo...
Hivi inakuwaje nyie wanaume huwa hamjiangalii kwenye vioo,,
Unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia...
Wajameni Jumamosi nilihudhuria harusi ya rafiki yangu pale KIRAMUU Hall, Mbezi sasa kabla bwana harusi hajaingia ukumbini nilimsikia akihaha kumpigia simu Baba yake (Baba Mzazi) ambae anaishi hapo...