Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uongo dhambi sidanganyi Nina umri wa miaka 22, muhitim wa chuo zile kozi za watu wengi, Sikuanza mapenzi mpaka form 3 2010, 10 ,04 niliposex na dada alifatiliwa kwa muda mrefu na rafiki angu...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimekaa kwenye mahusiano tofauti tofauti na nimejitahidi kujua kuwa kuna mambo ambayo yanafanya watu kuchepuka, binafsi naweza kusema ni mtu kukosa uvumilivu katika mahusiano na pia kushindwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya kutafuta tonge,ada na mahitaji mengine ya familia. Naomba tujadili dawa gani au mbinu gani umeitumia kama mzazi au mlezi kusolve tatizo la mtoto wako kutopenda kula i mean...
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Wazazi wengi bado wanaona aibu kuwa wazi kutoa baadhi ya taarifa na msimamo yao kwa watoto wao wakidhani kuwa muda bado, na ni aibu kufanya hivyo mapema, kumbe jinsi wanavyochelewa ndivyo jinsi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanaume tumekuwa na tabia ya kuwaita wake zetu majina ya vitu vyepesi Kama chocolate, sweet potato , vanilla, et sum mo. Hivi vitu super market haizidi Tsh 10000. Tunatakiwa wake zetu tuwaite...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wote hapa jamvini! wakati tukiendelea kutafakari ya Mange na kamanda Sirro, na ugumu wa maisha kwa ujumla, kuna jambo kidooogo nimeona haliko sawa kimahusiano hasa upande wa dada zetu...
14 Reactions
120 Replies
9K Views
Nina miaka 29, nahitaji msichana alie serious na yuko tayari kuolewa ndani ya mwaka mmoja. Atleast awe na kazi inayompa rizki yake (not neccessary). Umri kuanzia miaka 21_25. Dini sio kikwazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna aina nyingi sana za uchumba mm nataja mbili na wewe unaweza kuongezea 1;Uchumba Sugu 2;Uchumba hewa 3;?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wanaume wenye uwezo mkubwa kifedha nchini Nigeria wamezoeleka kupenda kuwaoa wasichana wenye umri mdogo sawa na watoto wao, hususani mabillionea hao hupenda kuwaoa wanamitindo. 1. Adams Oshiomole...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Yeah, felis domesticus? Well, lemie take you back to biology 101. Felis domesticus is a scientific name for cat a.k.a pussy. Hapa namaanisha K(vant), papa (sijui kama la Gigy money), bupa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi bikra zimeendaga wapi jamani. Mimi nina wasiwasi na wasichana wa leo sijui wanajitoa wenyewe mbona zamani zilikuwa za kumwaga embu funguka wewe. Msichana unaejiamini umetolewa au umejitoa.
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni miaka 2 imepita tangia niachane na mke wangu kipenzi niliodumu nae miaka 5. Usiku wa tarehe 12/10/2015 ulitokea ugomvi mkubwa uliohitimishwa na talaka kwa kosa la kutembea na rafiki yake. Asia...
16 Reactions
72 Replies
5K Views
Sijui kwanini wanaume walio wengi hupokea habari za ujauzito wa mweza wake kama taarifa za msiba. Sio kwa wanaume mabachelor tu mambo haya siyo shwari hata kwenye ndoa. Unaweza mwambia mume wangu...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Hii imenitokea mpenzi niliyempenda sana mpaka najibana matumizi yangu namsaidia yeye mambo yake ya ndani hali ya kuwa ana mtoto aliyekwisha zaa na mwanaume mwingine baada ya kipindi kupita nikiwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa haraka haraka Nina mifano ya watu zaid ya kumi, anaoa January lakin wanapata mtoto July au june unajiuliza kwann haijatimia miez tisa? Kumbe kwanza wanatest akiona kuna dalili za ka tumbo...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ningeomba ndugu zangu katika haya mwakundi kama kuna mtu au watu unawafahamu tuweze kuwapendekeza kwa nia njia ili wakati mwingine unapopata changamoto uwasiliane na mhusika moja kwa moja kwa...
2 Reactions
229 Replies
15K Views
DEAR LADIES IT MIGHT BE A REMEDY......... 1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. 2. Mwanaume anayekupata...
17 Reactions
45 Replies
5K Views
Wenye uzoefu mnisaidie, inakuaje hewa inatoka kwene maumbile ya mwanamke wakat wa mapenzi. Je, inamaanisha kuwa uke umekuwa loose?
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Guys wa humu ndani, naomba wazo lako tu, Ni miaka mitano sasa tangu nilipompata mwenzangu kwa kuanza nae maisha (mchumba) kipindi hicho nakaa nae pamoja lakini gafla akahama mkoa na kwenda DSM...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mkazi wa kijiji cha Nyansurura wilayani Serengeti, Paul Chacha (24) amejeruhiwa koromeo kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu kwenye gesti bubu...
4 Reactions
116 Replies
9K Views
Back
Top Bottom