Miaka miwili imepita tangu tuachane, I miss her

Miaka miwili imepita tangu tuachane, I miss her

afebris

Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
96
Reaction score
105
Ni miaka 2 imepita tangia niachane na mke wangu kipenzi niliodumu nae miaka 5. Usiku wa tarehe 12/10/2015 ulitokea ugomvi mkubwa uliohitimishwa na talaka kwa kosa la kutembea na rafiki yake.

Asia nisamehe sana mke wangu, najua haitatokea kurudiana kwasababu umeolewa, lakini ujue tu nakukumbuka kila siku.

Ushauri wangu kwa wanaume, ukipata mke ambaye mnapendana sana usije ukamfanyia kosa mkaachana utakuja kujaa na upkweke moyoni hata kama utakua na pesa au mwanamke mwingine.

Karamu mbili zilimshinda fisi.
 
anyway sitaki msaada wowote,
nimependa kushare tu yaliyonikuta nyuma,
nimeumiss ukarimu wake sana yule mwanamke,angekua kama mwanamke wa kawaida nigemsahau siku nyingi tu.
sasa si uoe mwingine?
 
Majuto ni mjukuu. Mi nipo nitakupetipeti mtamsahau huyo bi Asia ila usaliti hasa kwa wa karibu yangu sipendi. Haaaaaaa akili yangu , kichwa changu sipangiwi la kuandika. Just joking
hahaha si rahisi kumsahau hata nikiwa kaburini.
 
asiwe Asia nnae mfahamu, mtoto toka tanga mstaarabu sana. kashika dini mdada yule lazima ujute tu hakuna namna.

alafu kuna vitu unique humfanya mtu kumkumbuka x-wake hata kama yeye alikuwa chanzo cha kuvunjika mahusino.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom