Hello,Jf members!
Karibu tukutane tena hapa kwenye huu Uzi wa faida!
Upendo unaweza kuelezewa katika namna mbalimbali sana kwamba ni deep feeling au hisia za ndani zaidi na zinakuwa na lengo la...
Kwa kifupi katika mapenzi inaboa sana eti mpenzi wako kukucontrol kama remote mara unaongea na nani, ulikuwa wapi na nani.
Mara usiongee na mtu fulani mara ukipiga hata ka selfie na class mate ni...
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa...
Naomba niandike ya moyoni mwangu labda nitapata ahueni.
Nimemiss kupenda kwa dhati, nimemiss kuenjoy mapenzi, nimemiss kumpenda mtu hadi unakuwa chizi na kumuwaza muda wote.
Leo nimekumbuka sana...
Habari najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke wa kuoa nipo serious na ombi langu ninalo lileta kwenu.
Naitwa Jackson mwenye umri wa miaka 34.Nina Elimu ya chuo kikuu,mimi ni mweusi ,kabila...
MUNGU ni mwema siku zote. Mchungaji wa kanisa la Christ Mercyland, Prophet Fufeyin amewashangaza maelfu ya watu nchini Nigeria baada ya kumuombea kijana mwenye matatizo ya kudumu ya nguvu za...
I Met a lady... kwa mara ya kwanza nikadhani she is just a woman to have fun with kwa hiyo haikua kitu serious, hakuna alietaka kujua situation ya mwenzake ya kimahusiano sababu we were just...
Leo jioni hii nilikuwa naongea na wifi yenu. Shida ikaja pale aliposema sjawahi kumbembeleza na mahusiano yana miezi kama minne.
Sasa apa nlipo najiuliza mwanamke anabembelezwa vipi.
Jana hivyo Nimekaona Kurupshani kwa jirani
Tokea jana sijapata nguvu ya kwenda kazini sababu chumba cha jirani mume kamcheat mkewe.
Mkewe kakasirika kwenye maongezi yake akasema mume akiondoka...
Habarini za humu wadau,
Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.
Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga...
Wasalaam wakuu!
Niko ova 30 now, Nimekua na mahusiano na wanawake wengi ila ukweli nahisi siko kama wengine naosikia wakilia mapenzi yanawatesa kiasi hata cha kutaka kujiua.
Sijawahi kuwa na...
kwanza kabisa niseme sikuwa na nia hii ila itabidi, siyo kosa lake tatizo ni mimi.
Huyu binti nilikutana nae mwanzoni, mwaka huu, nilitokea kumtamani na kutamani kuwa nae hata kwa usiku mmoja...
Kuna vijitabia kwa baadhi ya akina dada kujifanya wanawivu kama chui aliye kwenye joto! Hujitia kutuchunga maboyfriend zao mpaka sasa wanaboa.
Raha ya mwanamke wivu uwe kwa mbali sana, ukijifanya...
Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta...
Habari za mchana wadau.
Sitaki kuwa mzungushaji kwa kuandika maneno kibao.
Mimi ni kijana wa kitanzania late 20's nimeishi nchi mbalimbali na sasa nimeamua kuhamishia makaz yangu Tz japo naona...
Nimelazimika kuandika hili kutokana na hali ambayo wakati mwingine nakutana nayo kutoka kwa jamaa zangu. ni miaka kadhaa sasa toka nimeoa na nimekutana na changamoto kadhaa mpaka kufikia hatua ya...
Nilikupenda miaka zaid ya 10 iliyopita wakati huo nipo Olevel nawe upo Advance ulivyofika chuo ukaniona mtoto kwa kauli yako mwenyewe ukasema tuachane
leo baada ya muda mrefu kupita ukapata no...
Wahenga wanasema it's never too late! Hatimaye umepata kibali cha kukamilisha sherehe yako ya pili duniani, ni jambo la kheri sana hasa kwa dunia yetu hii ya leo!
Vilevile nikupongeze kwa usiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.