Am sick and tired, mchumba wangu hataki kuniona

gyeetitus

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
86
Reaction score
39
Guys wa humu ndani, naomba wazo lako tu,

Ni miaka mitano sasa tangu nilipompata mwenzangu kwa kuanza nae maisha (mchumba) kipindi hicho nakaa nae pamoja lakini gafla akahama mkoa na kwenda DSM hiyo haikuwa changamoto sana kwani tuliendele kuongea kupitia mawasiliano, lakini cha ajabu nina miezi mingi mjini Dsm tangu nije hataki kuniona.

Ushauri wenu nauhitaji
 
Mkuu;
Samahani we ni me au ke? Uwe muwazi kidogo. Je darisalama ulikuja kumfuata au? Je ulimuarifu kuwa waja? Vitu ka hivyo vitakupatia ushauri mzuri
mimi ni mwanaume dar nimekuja kusoma nimemtaarifu ila tangu nimwambia nakuja tXt zangu anajibu mkato mara anapika mara hajibu
 
Ivi kwann mnapenda sana kuruhusu external forces ziwaumize ?????

Mimi huwa naumia na kitu nilichokifanya Mimi nasio alichokifanya MTU.

Mkuuu au huna uhakika kama unaweza kumpata mwanamke mwingine ???? Unamiezi ,, unamtafuta lkn hataki kukuona ,,huoni km kuna kitu anajua utakigundua siku mkimiti ?????? Huyo anamimba hamna kingine.

Piga chini ,,Dar wanawake niwengi sana labda ushindwe wewe tu.
 
Pole sana. Mwanamke kuishi dar salama sio rahisi. Anahitaji chumba/nyumba nzuri ya kuishi. Anahitaji usafiri kwenda kurudi kazini, mshahara haujawahi kuongezwa tangu 2014. Vyuma vimekaza kweli kweli.
Lazima binti mwenye sura kidogo ka ya mamake atapata mfadhili. Sasa weye wa skuli unakuja tena kumsumbua na hajakamata usukani vizuri huoni kweli lazima akukwepe?? Endelea na skuli kwanza ukimaliza, waweza kuja mpata mtoto wake maana siku hizi watoto wanakua haraka ka vile walikula amira. Acha kumsumbua mke wa mtu
 
Ivi kwann mnapenda sana kuruhusu external forces ziwaumize ?????

Mimi huwa naumia na kitu nilichokifanya Mimi nasio alichokifanya MTU.

Mkuuu au huna uhakika kama unaweza kumpata mwanamke mwingine ???? Unamiezi ,, unamtafuta lkn hataki kukuona ,,huoni km kuna kitu anajua utakigundua siku mkimiti ?????? Huyo anamimba hamna kingine.

Piga chini ,,Dar wanawake niwengi sana labda ushindwe wewe tu.
kaka kitu unachokiongelea nakifahamu sana ni kwamba katika relation hii nikibroke victim atakuwa ni yeye am type of man naweza pata mtu ninae mtaka the problem ni kwamba mama ake anapofaliki alinihusia nisije kumuacha niwe nae untill the end
 
Kaka tunapenda pale tunapoona tunastahili.

Bila shaka hata mbingu HAZIWEZI KUKULAINI UTAKAPOMUACHA.

ufanye nini ???? Kwake hupajui ???? Nabado hataki mkutane ,,wat next ????? Yaaan ujiendeleze tuuu kujipigisha simu na vimeseji alafu hujibiwi ..ukijibiwa nimkato ????

Kaka unaona hiii nikawaida ????? Inamaana naww unaruhus kuumia sababu tu mama ( R.I.P mama ) alikusisitiza uwe naye ????? Sawa hutaki kumuacha ,,,lkn utafanya nn km Binti mwenyewe ndo kagoma ??? Au unahisi anakupima ???

Bro changamsha bongo yako...kama kweli unampenda Acha kumpigia siku wala kumtafuta mpaka pale atakapoona vema mwenyewe akutafute KINYUME nahapo naaona kama unatafuta magonjwa ya presha ,,mawazo na vidonda tumbo.

ALAFU AMINI NAKUAMBIA THE MORE UNAVYO COMPLAIN NA KUMBEMBELEZA NDIVO NAYEYE ANAVYOKUPUUZIA NANDIVYO NAWW UTAZIDI KUPAGAWA NAMWISHO UTASHINDWA KUFANIKISHA KILICHOKULETA DAR.

AMINI AMINI NAKUAMBIA ,KOKOLIKO MLANGO WACHUMA UKIIFUNGUA HAUNA HURUMA.[emoji119]
 
Apo si wewe mwenye kosa cz umeachwa wewe apo
 
[emoji106] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
mimi ni mwanaume dar nimekuja kusoma nimemtaarifu ila tangu nimwambia nakuja tXt zangu anajibu mkato mara anapika mara hajibu
Ayaaaaaaa sitisha mawasiliano na uendeleee na ratiba zako nyingine kijana
 
Back
Top Bottom