thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Nimekaa kwenye mahusiano tofauti tofauti na nimejitahidi kujua kuwa kuna mambo ambayo yanafanya watu kuchepuka, binafsi naweza kusema ni mtu kukosa uvumilivu katika mahusiano na pia kushindwa kupata au kutoa huduma zile mtu anatakiwa kupata pindi watu wapo kwenye mahusiano.
Najua kila mmoja anayake hapa naomba tubadilishane mawazo katika hili.
Najua kila mmoja anayake hapa naomba tubadilishane mawazo katika hili.