simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Wanaume tumekuwa na tabia ya kuwaita wake zetu majina ya vitu vyepesi Kama chocolate, sweet potato , vanilla, et sum mo. Hivi vitu super market haizidi Tsh 10000.
Tunatakiwa wake zetu tuwaite majina ya gharama Kama gunia la mchele, pipa la petrol, dumu la mafuta ya kula, gunia la mkaa, gunia la mahindi.
Mfano una mpigia mkeo una muambia, hello gunia langu la misumari..