Best lover or best friend?

gyeetitus

Member
Dec 16, 2016
86
39
Hii imenitokea mpenzi niliyempenda sana mpaka najibana matumizi yangu namsaidia yeye mambo yake ya ndani hali ya kuwa ana mtoto aliyekwisha zaa na mwanaume mwingine baada ya kipindi kupita nikiwa Kigoma nampigia simu mpenzi wangu ananambia tuwe marafiki.

Sikutaka kupanic nikamuuliza au amepata mtu mwingine akanambia ndio, nilipomuuliza ni nani akasema ni Emma ambaye ni rafiki yangu kipenzi
niliamua kukata simu na kujiuliza maswali mengi.

Je niwachukie wote au nimchukie nani kwa usaliti walionifanyia?

Naombeni ushauri pia
 
Chuki ni mbaya mnoo, samehe na achilia mkuu. Utaishi kwa amani na utaziona baraka juu yako. Huyo hakuwa wako kabisa, na shukuru Mungu kakuonyesha mapema. Amini mke mtu hupewa na Mungu!!!
 
Ukikutana na viumbe hv mpe 3%, 97% baki nayo, hawana maana hata kidogo, kupenda kwa 100% ndio mwishowe wajinga wajinga huwa wanajinyonga..

Bahat nzur sijui kupenda niko na principle chache, 1. Natoa kile ninachopewa, 2. Wanawake wote ulimwenguni ni malaya(japo najua watiifu wapo) siipi nafas nkatoka kwenye mstari..

So kwa principle hizo 2, nikikutana na mwanamke namchukulia kama supu tu, nimeumbiwa nigonge nitembee mapenz itategemea na kipi anakiofa kama akionesha mahaba, mie ntayonesha mara mbili japo moyoni hakai, akinijali na kunithaminishi ntaonesha the same japo hawez kuwin trust yangu miaka 100, nikiona yupo yupo, namie nfanya mzigo wa kustarehesha miili yetu..

Pole mkuu, huna haja ya kuyaweka moyo just endure pains and forget love. You will be stronger, wasamehe tu.
 
Pole sana Brother,cha msingi vumilia tu na ujipe moyo ksa hilo,fanya mambo yako na jifanye kama hukuwahi kua nae katika maisha
 
Watu wana ndimi zinalamba chumvi hadi neva za ladha zimeparalaizi.
Ngoja nilale mie
 
..., akinijali na kunithaminishi ntaonesha the same japo hawez kuwin trust yangu miaka 100, nikiona yupo yupo, namie nfanya mzigo wa kustarehesha miili yetu..

Miaka 100? Braza we ni vampire wa season gani?
 
Hii imenitokea mpenzi niliyempenda sana mpaka najibana matumizi yangu namsaidia yeye mambo yake ya ndani hali ya kuwa ana mtoto aliyekwisha zaa na mwanaume mwingine baada ya kipindi kupita nikiwa Kigoma nampigia simu mpenzi wangu ananambia tuwe marafiki.

Sikutaka kupanic nikamuuliza au amepata mtu mwingine akanambia ndio, nilipomuuliza ni nani akasema ni Emma ambaye ni rafiki yangu kipenzi
niliamua kukata simu na kujiuliza maswali mengi.

Je niwachukie wote au nimchukie nani kwa usaliti walionifanyia?

Naombeni ushauri pia
Fanya maisha mkuu....

Akunyimae mbaazi kakupunguzia Ushuzi.....you never know!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom