Wanawake ni walele wale, wachache wanautofauti

Wanawake ni walele wale, wachache wanautofauti

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,864
Uongo dhambi sidanganyi

Nina umri wa miaka 22, muhitim wa chuo zile kozi za watu wengi,

Sikuanza mapenzi mpaka form 3 2010, 10 ,04 niliposex na dada alifatiliwa kwa muda mrefu na rafiki angu akaja nitunuku mimi,
Hapo ndo nikafungua ukurasa wangu
Kwa o level nikapata wadada 6, nilipofaulu advance nilitembea na wanawake 4 mmoja alikua mwalimu mmoja mke wa mtu, mmoja mtaani mwengine mwanafunzi w olevel

Nilipofika chuo mpaka july 2017. Wadada wa chuo udsm mlimani 4, duce 2 mtaani 3,

Nilipokua field nikpata mwanafunzi mmoja. ,

Nilipomaliza chuo july to now majirani 4, mama mtu mzima 1 mke wa mtu 2, kati ya hao bikra nimepata mbili tu, alieniliza mmoja

Nilichogundua

!!! Alichoamua mwanamke huwezi kukizuia, na kama hakupendi hakupendi tu!!

, //uzuri wa mtu uko machoni mwa aliependa, si kila mwanamke anapenda kifua
/*kuna factor kubwa zaidi ya kupendana, na mapenzi ya mbali na muda mrefu ni uongo sana
/**
1 wake za watu wananihonga sana na ni rahisi kuwapata.hawana longolongo
2-bikra ni adim sana.
3-Wanawake wembamba ni watamu sana
4- wanawake mabonge wazuri kuwaangalia ila kitandani hamna kitu
5-nyege jambo baya sana.. Sishasex nyuma ya gari watu wako sitting room
6-no matter how unamsex mpenzi wako lakini kama haoni future bas atakuacha
7- mapenzi yanauma sana kwa wanaume hasa usaliti kuliko wanawake wao ni rahisi kusahau
8- ni rahisi kuwa na ONE NIGHT STAND kwa mtu wa dini tofauti
9-madem wa kiislam n vingananizi na wapenda ndoa mbele
10-mapenzi hayana maana moja
11-kila mwanamke anamaneno machafu y kimapenzi haijalishi umri, ila mpaka apate uhakika wa usalama na mtu anaemwamini ndo ajiachie
12-wanandoa wengi wanaishi tu ili waishi ila kapenzi hamna,na right kama wanaume wangejua wanawake wao mambo wanayoyasema na jinsi wanavyowachukulia nusu ya ndoa zingevunjika siku moja

14-Ni ngumu sana kupata soulmate zaidi ya kpata bikra



,nataka nitubu nitafute maisha na nioe mtoto sealed ,
 
Kwa hiyo mbwembwe zote hizi point yako ilikuwa unatafuta bikra?
 
Utampata mkuuu sealed wapo wengi wala usivunjike moyo.

Ila sasa kuna kaujumbe unatakiwa ukajue kuhusu hawa wenye sealed.
 
22 yrs Bado mdogo sana lkn umeshajivika mikosi na mabalaa kwa kubeba wake za watu
 
22 yrs Bado mdogo sana lkn umeshajivika mikosi na mabalaa kwa kubeba wake za watu
We muache tu ajifanye shababi,akae akijua tu kwamba "muosha huoshwa" Utakuja tu nawe kugongewa mkeo,hapo tu utajua kuwa "what goz around comes around"
 
Iiiiiiiish dada kapeace ulitaka aanze na miaka mingapi kama 22 ni midogo sana
Kuanza sio shida, ila kwa maelezo yake 22 kutembea na wanawake wakubwa kumzidi na wengine ni wake za watu aiseee asitegemee kufanikiwa ktk maisha yake, na ajiandae kwa mikosi na mabalaa tu
 
We muache tu ajifanye shababi,akae akijua tu kwamba "muosha huoshwa" Utakuja tu nawe kugongewa mkeo,hapo tu utajua kuwa "what goz around comes around"
22 yrs na anajisifu kula wake za watu, ndo maana mvua hazinyeshi
 
Kuanza sio shida, ila kwa maelezo yake 22 kutembea na wanawake wakubwa kumzidi na wengine ni wake za watu aiseee asitegemee kufanikiwa ktk maisha yake, na ajiandae kwa mikosi na mabalaa tu

Mmmmmmmhh dada kapeace can you prove it
 
Back
Top Bottom