Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nini siri yake??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa nisiende mbali,kama kichwa kinavyojielezea hapo juu,nilikuwa napenda kujua ni sababu zipi zinazofanya mwanamke au mwanaume kuoenda kufanya mapenzi kila mara maaana mpka najihisi...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Kwakweli nimekuwa nikijiuliza sana kama nimefall out of love na mume wangu, nikagundua bado nampenda. Kila mtu ana mapungufu yake, sote binadamu. Sikuwahi kufikiria ku cheat hata siku moja no...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwanza kabisa niwasalimu vijana wenzangu tunaowaza kujikwamua katika umaskini. Kumekuwa na dhana ambayo mimi kwangu naiona ni kama chachu ya maendeleo kwa vijana wa kisasa, dhana hii ni juu ya...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii tabia ya wanawake ukishamuoa na mkapata watoto basi wanajisahau na kuanza kuwa wachafu kama bata hii tabia haivumiliki!nukta.
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Za Siku ya leo, Nisiwachoshe sana,naamini watu wengine ni waajiliwa sehem mbalimbali za kazi, na kuna wakati kunatokea offer au shighuri ambazo zinakulazimu uwe mbali na mpenzi au hata kama sio...
0 Reactions
7 Replies
949 Views
Furaha ya kweli inatoka ndani yako. Haitoki nje, kwenye vitu, mali au chochote. Kwa lugha nyepesi ni kwamba sisi ndio tunaoweza kuamua kuwa na furaha au kuikataa. Ukiendelea kusubiri furaha...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Eti wakuu ni kweli kua ugomvi hunogesha mapenzi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Em niambie huwa kunanyota za kuchelewa eti? au mnifundishe jinsi yakuwahi kumpata mpenz ambae naweza kuchelewa tena maan nahc nahuyu ntakae mfuat saiv ntakuw nmechelewa nnanyota nzur mie...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua? DADA: ndio nimepanga kabatini. Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wasifu wangu Umri: 28 Dini: mkristo Kazi: Nimeajiriwa Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Asalaam, za hapa? Basi bwana miaka kadhaa iliyopita katika harakati za kusoma nilikutana na jamaa Kwenye usajili akanichangamkia sana kama ananijua. Sikustuka maana wanafunzi ndivyo walivyo...
19 Reactions
278 Replies
16K Views
Wasalamu, Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal...
2 Reactions
125 Replies
25K Views
Wasalaam wakuu Ni ukweli usiopingika macho hayashibi kutazama. Utaona leo na kesho yatatamani kuona tena. Sasa linapokuja suala la mapenzi macho yamekuwa yakihada watu wengi na kuwasababishia...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Girlfriend wangu recently amehamia mji mwingine (Shinyanga) about 10hrs away. Toka aondoke sio muda sana ni kama miez miwili tu sasa, ila naona mabadiliko ndani ya mahusiano yetu. I love her...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa...
4 Reactions
63 Replies
48K Views
Jamani nataka nijue kabila la wafipa ama kwa ujumla makabila yote ni shilingi ngapi hela ya kuweka katika barua ya kishika uchumba (kujitambulisha uchumba) Sent from my TECNO-J8 using...
3 Reactions
64 Replies
19K Views
Nakumbuka wakati nipo chuo mwaka wa mwisho kuna room mate wangu mmoja nilikaa naye mabibo hostel alikuwa ametokea Bukoba. Jamaa alikuwa amesoma shule za seminari isipokuwa chuoni tu ndo alikuja...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wanabodi, Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Leo najitokeza huku kuongea na dada zangu. Haswa waliojaliwa siha nzuri na Mwenyezi Mungu. Tangu utotoni wakiwa wanasifiwa kuwa wao...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Xxxxxxxxxxxxx Unafungua nini unapenda ukabila unataka kutambika?????
1 Reactions
22 Replies
17K Views
Back
Top Bottom