Mpenzi anatetemeka baada ya kufanya mapenzi, nini kinasababisha hili?

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
Wasalamu,

Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal education.

Katika pita pita zangu ya hii tasnia niliwahi kusex na mpenzi wangu wa zamani ilikua mwaka 2012 kuna hali ilimtokea hadi leo huwa najiuliza na sijapata jibu,kiukweli ilikua ni hot sex naweza iita ni show namba moja kwangu bora.

Tulipokua tukimaliza raundi ya libeneke mdada alikua anatetemeka kama kapigwa short ya umeme inamchukua hadi 10 minutes akitetemeka mwili mzima hadi kitanda kinatetemeka, lilikua ni jambo geni kwangu, mimi nilikuwa nakaa pembeni tu namuangalia hadi charge inazima taratibu.

Nimekaa nalo kwa mda mrefu kidogo leo nimeona niwashirikishe kwani JF kuna watu wazoefu na haya mambo,

Hii hali ilikua kitu gani?

Karibuni.
 
wasalamu
awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za jf kama geust hasa ili jukwaa pendwa
nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal education.


katika pita pita zangu ya hii tasnia niliwai kusex na mpenzi wangu wa zamani ilikua mwaka 2012 kunahali ilimtokea hadi leo hua najiuliza nasijapata jibu,
kiukweli ilikua ni hot sex naweza iita ni show namba moja kwangu bora,

tulipokua tukimaliza laundi ya libeneke mdada alikua ANATETEMEKA Kama kapigwa short ya umeme inamchukua hadi 10 minutes AKITETEMEKA mwili mzima hadi kitanda kinatetemeka,lilikua ni jambo geni kwangu, minilikua nakaa pembeni tu namuangalia hadi charge inazima taratiibu,

nimekaa nalo kwa mda mrefu kidogo leo nimeona niwashirikishe kwani jf kunawatu wazoefu na aya mambo,
hii hali ilikua kitu gani?karibuni

Ikimbie zinaa tena asubuhi asubuhi, epuka laana fikiri kwanza kazi za leo na si uzinzi
 
Hiyo inaitwa full body orgasm mkuu.

Kifupi ulipiga show ya kutosha na uliimudu sana, huyo mdada kamwe hawezi kukuacha.

Siku ukikutana na mke wa mtu lazima asaliti ndoa yake aisee

nilikua nawaza kitu kama hicho ila nilikua sina uhakika,kwani ni jambo ambalo sikuwai liexperience mala nyingi,nashukuru kwa kunipa elimu mkuu,
 
Wasalamu
Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.
Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal education.

Katika pita pita zangu ya hii tasnia niliwahi kusex na mpenzi wangu wa zamani ilikua mwaka 2012 kuna hali ilimtokea hadi leo hua najiuliza na sijapata jibu,
kiukweli ilikua ni hot sex naweza iita ni show namba moja kwangu bora.

Tulipokua tukimaliza raundi ya libeneke mdada alikua anatetemeka Kama kapigwa short ya umeme inamchukua hadi 10 minutes akitetemeka mwili mzima hadi kitanda kinatetemeka, lilikua ni jambo geni kwangu, mimi nilikua nakaa pembeni tu namuangalia hadi charge inazima taratiibu.

Nimekaa nalo kwa mda mrefu kidogo leo nimeona niwashirikishe kwani JF kuna watu wazoefu na haya mambo,
Hii hali ilikua kitu gani? Karibuni.
Chukua daftari zako nenda darasani mwalimu wa Maths ameshaingia.
 
Hiyo huwa inatokea kwa wadada walio kati ya umri wa miaka 17 na 23 hivi wakati homoni zao zinakuwa juu haswa.hata mimi nilishawahi kuwa na msichana wa hivo.alikuwa anatetemeka balaaa hadi nikawa naogopa sana.but kadri alivyozidi kwenda age taratibu ule mtetemeko ukawa una unatoweka mpaka sasa hatetemeki zaidi ya kukakamaaa mwili na kunikumbatia kwa nguvu mpaka mtu nashindwa pumua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom