Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 194
- 262
Kwakweli nimekuwa nikijiuliza sana kama nimefall out of love na mume wangu, nikagundua bado nampenda. Kila mtu ana mapungufu yake, sote binadamu. Sikuwahi kufikiria ku cheat hata siku moja no matter our circumstances.
Fast forward, nimekutana na mkaka mmoja, yaani nilivomuona tu mara ya kwanza, nikawa interested sio kimapenzi (kwa wanawake ndivo inavoanza yaani...) yuko very mysterious, intelligent, anajielewa anataka nini maishani, confident na ameoa.
Jamani we, siku zote nawataniaga marafiki zangu kucheat kila mtu kaoa/kaolewa ni easy, no strings, no complications, ma feelings tupa kule, kila mtu anasepa kivyake, just bang and go...saaasa... wild thoughts creeping...sijui ni sali sala gani niepuke aisee. Then again....