Ugomvi huchochea penzi??

Ugomvi huchochea penzi??

Ugonv UPI ?? Specify .

Usitegemeee unampa kichapo alafu aendelee kukupenda.

Ndio baadhi ya mikwaruzano huwa lengo nikunogesha mapenzi.
 
Wengine hata wapigwe mapenzi yanaendelea
Kutokua nakazi
Umasikin
Utegemezi
Kutojiamin
N.k

Hizi ndo sababu kuu zakwann wengine wanaendeleza .

Hapa naongelea kipigo bila sababu .....ila km umekosa Mara nyingi akili namwili vinakua tayar kupokea adhabu yoyote.
 
Inategemea aseeee
Mi sipendi,inanikata stimu espesheli mtu ukomalie kitu hakina kichwa wala miguu.ntakuona bogus.......tharau hapo hazkwepeki
 
Mmh. Sidhani kama unachochea penzi kwa sababu kuna ugomvi mwingine usipokuwa makini huwa unaweza watenganisha moja kwa moja.
 
Mmh. Sidhani kama unachochea penzi kwa sababu kuna ugomvi mwingine usipokuwa makini huwa unaweza watenganisha moja kwa moja.
Ni kweli,pia nadhani ugomvi kwenye mahusiano huwa hauepukiki,ni kawaida
 
Wapenzi wanokubaliana kwa kila jambo huwa hawadumu na huchokana mapema...

Ila wapenzi ambao mara zingine hutofautiana na kupeana makavu au ukweli ndiyo hudumu...


Cc: mahondaw
 
ngojea yakukute ndio utamjua mungu saiz huenda umeshiba...
 
Ni kweli kabisa... Mimi siwezi kukaa mwezi bila kuzingua huyu mtu, yani nakua nna mchecheto.
 
Back
Top Bottom