Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika maisha maisha! Nilipomaliza chuo wakati bado nawaza nianzie wapi katika maisha haya, nilikuwa naishi kwenye nyumba moja hivi ambapo ilitenganishwa na ukuta mrefu na nyumba ya jilani: Ile...
13 Reactions
47 Replies
9K Views
Suppose una mume, mchumba au boyfriend tu, ambaye sometimes you spend 2 or 3 days home kwake, na ana chumba ambacho ni self contained. Siku moja akaingia chooni na kukuta harufu fulani kali ya...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wanandoa ndoa wengi wanadhani kuoana ni kuacha kila kitu na kuishi dunia nyingine, yaani eti usipige picha na mwanamke mwingine mara usiongee na wanawake wengine mara uachane na ndugu na marafiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanawake wanawake wanawake ujue.mungu hapendi, Anasema ukahaba haachi na anapenda niwe mpenzi wake, Huyu.si uboya huu? Ilikuwa hivi nilikuwa dhidi ya baba wake wa kambo baada ya mama yake...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Muda mchache sana uliopita tu nimebahatika kuhudhuria Semina moja ya Kijinsia ila inayowajumuisha Wanawake wengi sana ambapo katika mazungumzo mengi ya Kiuwasilishaji kuna Wanawake wengi...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Kauli yake imeniudhi! Ina maana na mie kaniona ni kilaza nini? Moja ya sababu zilizonifanya nisimuoe ni kutokana na uwezo wake mdogo kiakili. Nikaona huyu ataniharibia watoto sasa leo anatamani...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Wakuu, Hivi inawezekanaje mwanaume rijali kabisa analilia Noah za Acacia? Hawa wanaume ni wanaume hawa hawa wenye gololi mbili au ni kina James Delicious? Acheni undezi wanaume, tupigeni kazi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za muda wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye point. Miaka kama mitano iliyopita wakati bado barabara ya Mwenge - Tegeta ilikua ina foleni kubwa mara nyingi sana nilikua napata nafasi ya...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Niliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
54 Replies
5K Views
  • Closed
Wadau nina mpenzi wangu mmeru nataka nimuoe, mwenye idea na requirements za kabila hili anijuze.
1 Reactions
53 Replies
20K Views
Kila ubaya unaofanya ,Basi ni akiba yako unayojiwekea mwenyewe na ipo siku utalipwa, Ukiwa mla watoto wa watu ,ipo siku naye wako ataliwa , Ukiwa mpenda wake za watu ,jua ipo siku wako naye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dada zetu sikuhizi mmekua makauzu hakuna mfano, tunalaumiwa bure tu wanaume hatutendi haki vitandani kumbe wakinadada mnachangia sana, kipindi hii unaweza finya msichana to the extent lakini...
5 Reactions
134 Replies
18K Views
Kama kichwa kilivyoanza hapo, Nikiwa na maana kuwa unaishi na mpenzi wako kwenye mahusiano ya kimapenzi hadi hatua ya ndoa na siku kadhaa baada ya ndoa unaamua kumwambia ukweli kuwa akusamehe...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari, Kila nikiweka uzi hapa watu wanakimbilia kusema kuwa mbona mama yako mwanamke, au wengine wanauliza hauna dada? Mi nitaendelea kuyasema yanayotakiwa kusemwa,kwakweli inauma sana...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Bosi anamwambia sekretari wake wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.Sekretari anamuaga mumewe kwamba anaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. Mume...
1 Reactions
6 Replies
807 Views
Naombeni nisiwachoshe.. Mwenzenu nimekuwa na relationship ngumu sana. Nimekuwa kama kipofu kabisa mbele sioni. Mimi niliolewa mwaka 2013 nikabahatika kupata mtoto 1. Mwaka jana mume wangu...
17 Reactions
262 Replies
18K Views
Habari waungwana, Nimeikuta mahali nimeona nilete hapa ili nione na wanaume wa hapa wanasemaje. Eti mwanaume ambaye hajabahatika kupata mtoto na anatarajia kupata mtoto siku ikiwadia furaha yake...
5 Reactions
93 Replies
12K Views
19/02/2009 saa sita usiku baba wa mtoto wangu (hatukuwa tunaishi pamoja) alinieleza kwa simu kuwa hanihitaji tena na ile barua ya posa alotoa tuisahau na maelezo juu ya malezi ya mwanetu akasema...
5 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari Kwa kipindi kirefu nimekua sina rafiki wa kike hata wa kujualiana hali kwa text,upweke ukastawi na leo nikasema upweke basi acha nijaribu kutafuta hapa kwenye mtandao wangu wa jf. Sio...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Mwanamke ana inteligence kubwa au labda mcharukaji sana 2. Mwanaume ana inteligence kubwa au labda mcharukaji sana 3.Mwanamke ana inteligence ndogo au labda sio mcharukaji 4.Mwanaume ana...
0 Reactions
6 Replies
609 Views
Back
Top Bottom