Kabila Linalojua Mapenzi Tanzania

Kabila Linalojua Mapenzi Tanzania

The Hidden

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
246
Reaction score
102
Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Xxxxxxxxxxxxx

Unafungua nini unapenda ukabila unataka kutambika?????
 
Kila kabila lina utamaduni tofauti na mwingine katika kutafsiri nini maana ya mapenzi.

MF. Mkurya mwanamke anaamini kupigwa na mumewe ndio ishara ya Upendo. Na yapo madai usipompiga atakuchokoza ili angalau achezee kichapo.

Hii ni kwa mujibu WA mitazamo ya kikabila.
Ambayo kwa makabila mengine wanaweza pinga hata kunywa sumu.

Yako makabila yanawasifu wanawake wanaowafanyia kila kitu wanaume zao mfano wanawake kuwaogesha wanaume na kuwapetipeti Kama watoto wachanga. Kwao haya ni mapenzi murua.

Lakini makabila mengine yanaweza kuona hizi ni tabia za kiuanamke au za ugoigoi WA wanaume ikiwa utafanyiwa kila kitu na mwanamke bila we we kunyanyua hata kidole kufanya.

Yako makabila unapompenda mwanamke kwa mujibu wa kabila unamteka na kwenda kutoa taarifa kwa wazazi wake kwamba yupo kwako.

Yapo makabila ukubwa wa mahari unayotoa ndii ishara ya Mapenzi.

Yapo makabila uvaaji shanga kiunoni ndio mapenzi.nk.

Yako makabila kama waadzabe, ambapo hata akikukuta chumbani unafanya mapenzi na mkewe yeye Hana wivu. Anapita kule anawaacha muinjoy. Kisha atakuja na yeye zamu yake atakula mzigo ili kukata kiu.

Yako makabila ambapo lazima mwanamke akeketwe kwanza ndio apate bwana nk.

So huwezi shindanisha samaki, nyoka na kuku katika mbio. Kwakua makabila hayana vigezo vinavyofanana katika kueleza mapenzi.

Fahamu kua misingi ya kila kabila imebeba mtazamo wake. Na hakuna unaopaswa kuonekana inferior. Kwasababu mambo haya ni matokeo ya society values.

Hakuna benchmark inayokubaliwa ama kutambulika duniani kua hii ndio ultimate criteria to measure Loveness.[B/]
 
Hahahaha wakutambika tumejikuta kwenye uzi mmoja na kila mmoja anavunga
 
Back
Top Bottom