Asilimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi, ni vurugu mechi tu na kuchoshana, wanajua kusugua sana ndio mahaba yenyewe . Badilikeni wake zenu nao,wafurahie tendo.
Ipitie video hii kwa umakini,
Bush amempa kiss ya maana mke wa.Obama, na inaonesha obama kama.anahisi jambo fulani ,
Kumbe hata wakubwa ni hatari
Vipi hii ikifanyika hapa Tz, magazeti...
Wakuu nimerudi.
Nimetimiza mwaka na siku 5 kuwa member hapa jf, ila miezi kadhaa kuwa active.
Kunakitu nimekiwa nikijiulza sana.
Hivi kama huko fb na insta (S network maarufu) currently...
Nilikutana na huyu binti mrembo sana mwenye hips la maana mwaka 2006 kipindi hicho tunapambana na tuition k/koo. Kwa bahati nzuri wote tulifanikiwa kufaulu na kuchaguliwa mlimani hapa upendo...
Huko mkoani shinyanga kuna mwanaume amefariki akiwa kwa mganga katika juhudi za kuongeza nguvu za kiume. Nlichosikitika ni namna ambavyo amefanyiwa. Inasemekana huko mikoani kumekuwa na tatizo...
Nahisi nimeathirika kisaikolojia.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kusex na mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mwathirika ambaye yupo katika medication, na katika kufanya nae nilipiga peku japo...
Habari zenu, jukwaa pendwa la MMU,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 tu. Jambo la kushangaza nimekuwa nikivutiwa zaidi kimapenzi na wamama...
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari...
Nimekuwa na msichana kwenye mahusiano tangu mwaka 2012 na tulipendana sana, tulipamaliza form 4 yeye alienda kusoma nursing na mimi nikaenda advance, nimemaliza advance mwezi wa tano mwaka huu na...
KELELE ZA MAHABA KITANDANI
Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea...
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.
Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila...
(niliaga but I have to post this somewhere! SHARING IS CARING! )
So some time ago I made this AMAZING DISCOVERY :D
me nimesoma makorokoro mengi sana but Mbona Sijawahi kuona hii inaongelewa...
Habari za mida wakaz wenzangu wa humu wakati tukiendelea kutafakari miaka miwili toka uchaguzi mkuu Kuna ka jambo flani kusema kwel huwa kananikereleta Sana mtimani.
Haka ka jambo si kengine bali...
Helloo,
Toa neno lolote la ushauri juu janga la UKIMWI
Maisha ya kila siku na janga la UKIMWI. Kama umeathirika au lah utoe elimu tu kwaajili ya kizazi chetu.
Cheers
Aisee leo nineamini kuna Segerea, maana ile namaliza kunywa chai tu naona wazee hao(maaskari).
Basi mzee nilizindua njia mpya kwenye bustani ya jirani, speed kama bolt nikakutana na kiukuta...
Wakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Baadhi ya ndugu wamekuwa wakilalamika kuwa mashemeji wamekuwa bahili sana na hawawapatii pesa za mahitaji kama shule etc,
Shemeji yako jukumu kake kuu ni kumuhudumia dada yako na watoto wake...
Mdada umepata boyfrien mzungu, Huyu alikuja ku volunteer kama mwalimu wa English pale kijijini. Kwakuwa wewe ni kama Sky Eclat , "yes, no" unazielewa basi mmezoeana na mwisho mmeanza ku date...
Katika rukaruka za ujana nishawahi kutembea na wanawake ambao kuna watu wanawahisi ni waathirika wa HIV, hii kitu ilinifanya nijihisi mfu ninaetembea na nikawa muoga sana kwenda kupima, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.