Siwezi tena kufanya mapenzi bila condom

Siwezi tena kufanya mapenzi bila condom

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,750
Nahisi nimeathirika kisaikolojia.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kusex na mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mwathirika ambaye yupo katika medication, na katika kufanya nae nilipiga peku japo ilikuwa kimoja.

Basi toka hapo nikawa mtu ambaye sina amani nikijua nimeukwaa yaani hadi napima baada ya miezi 9 nilikuwa siamini majibu ya hospitali ninapoambiwa nipo mzima yaani negative.

Basi tokea miaka hiyo mpaka leo najikuta siwezi kufanya peku tena nishawaacha wanawake wengi wakaondoka geto kwa kukataa kutumia condom nahisi tu kila mwanamke anae kiasi kwamba siwezi kufanya nae peku.

Shida inakuja kwa mwanamke wangu ninaempenda nae pia siwezi fanya peku yaani lazima nitumie condom amenilalamikia sana kuhusu tabia yangu ya matumizi ya condom anahisi mimi simuamini kiukweli roho inauma maana nampenda hilo Mungu anajua.

Nifanyeje wanandugu niwe comfortable kufanya peku tena?
 
Jaman tuoneeni huruma sisi wanawake hizo condom zinatusababishia fungus jaman........ Kama unampenda mwanamke wako nenda nae hospital mkapime then mutifuane bila hayo makitu..... Siyo mazuri kwa afya ya nyuchi zetu pls
 
Kapime na demu wako huyo hiyo itakusaidia kurudi katika hali yako ya zamani maana utamwamini kwa result na utakuwa huru.
 
Back
Top Bottom