Kwa ujumla sifa za mume mwema ni:
1.Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2.Anajiheshimu, anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na...
Hongera sana Wife kwa Moyo wako wa huruma.
Ni binti tuliependana sana japo ndoto zetu za kuishi pamoja ziligonga mwamba kwa pingamizi la familia ya Binti ( Jina kapuni)
Mke wangu pia alimtambua...
Jana mida ya jioni nikiwa nimevaa pence na T-shirt imeandikwa John cena, nikiwa kwa miguu mdogo mdogo naelekea min supermarket ya kitaani kwetu,nikakutana na dada mmoja mweupe ana mgongo hivi, si...
Baada ya kugundua u notorious haulipi, sasa umefika 28 huna boyfriend wa permanent wala mchumba umeamua kubadili gear angani. Umefanikiwa tena hata kazi umepata mpya, the new you amekuja na bible...
SIPENDI NAMNA UNAVYOONGEA NA MIMI...
"Una matatzo gani wewe? Sikukwambia mimi ufue shati langu la blue? Yaani kila siku wewe ni kusahau tu" akamkoromea mkewe.
Mke akatazama pembeni.
"Samahani...
Hii inaitwa prisoners dilema kwa wakaka wa Dar.
Wengi wanaona aibu kutoka na madem wa kishamba lakini pia wengi hawawezi kwenda na kasi za ma sista duu wa Sinza.
Wakuu naomba ushauri wala sielewi hii kitu kuna mademu kama nane hivi ambao ni marafiki kwenye mitandao fb sasa nikajiunga na instagram so nikawaadd wote marafiki waliopo fb baadaye nikaona haina...
Mchawi ni nani ? mchawi ni wewe mwenyewe ambaye kipindi cha nyuma ulikuwa na rafiki yako pete na kidole, mkishirikiana na kusaidiana katika kila hali ngumu za kimaisha. Glafla shetani akawatest...
Ndugu zangu,
Siku hizi wanawake wanajifanya mazoea yao kwa nguvu zote waonekane wasichana wachanga wenye chuchu zilizosimama kwa kujaribu kutuvutia sisi.
Tumewajua hatukuji ng'oo. Kama...
Habari wanakijiji wenzangu, matumaini mko salama kabisa, bila kupoteza muda nielekee kwenye mada
Kumekuwa na wimbi la watu wengi hasa wanandoa kueleza negatives za ndoa kiasi kupelekea wengine...
wala nisiandike maneno mengi maana wale jamaa wenye chuki nitawaua mapema. unajua chuki inasababisha ufe haraka? anyway... jamaa mmoja anasema yeye ameoa ila kiukweli hamfaidi mke wake. maana mara...
Wanajukwaa,
Kama mada inavyojieleza, kuna rafiki yangu ameishi na mwanamke kwa miaka 5 sasa na wana mtoto mmoja ila ndoa bado.
Sasa jamaa Jana kaja ghetto ananiuliza swali hilo ambalo lipo...
Habari za muda huu wanabodi
Sijawahi kuandika uzi jukwaa hili, huu ndo wa kwanza. Kilichonifanya niandike huu uzi ni magumu niliyopitia wiki mbili zilizopita
Nilikuwa kwenye uhusiano na binti...
Hello JF,
Basi tukiwa tunatafakari mambo mazuri na yenye tija kwa taifa letu yanayoendelea kufanywa na serikali ya Rais wetu kipenzi John Pombe Joseph Magufuli chini ya ilani ya Chama Cha...
Kwanza wana jf habarini za jioni.
Kisanga cha rafiki yangu huyu, in kwamba yeye anamke na mtoto mmoja walifunga ndoa ya kikristu.
Kwa kipindi walichoishi pamoja walikua na migogolo ya hapa na...
Wanasema mapenzi ni package ya mambo mengi pamoja na tendo la nanilihu.
kuna jamaa mmoja bwana nilishawai kuwa nae kwenye mahusiano.
Yule jamaa alikuwa na sifa zote za kunidatisha, alinipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.