Hii imekaa kinyanyapaa flani hivi. Tutambue wenye ukimwi wote ni wenzetu na matter of fact as long as tunaishi duniani na ukimwi ulipokaa hakuna mtu ambae hapataki ama anaweza kufanikiwa kupakwepa basi na sisi ni wagonjwa wa kesho.Magonjwa mengi yanaua ILA ukimwi unauua vibaya....kwanza unakuua akili ,unauua malengo ,, unatumia dawa lkn unajua kifo kipo....mbaya zaidi."unaishi kwa matumaini".
Hili ni swala la kuelimishana tu. HIV is a community threat. Lengo Langu ni kusaidia watu kupima, kujijua hali zao, na kuacha ngono zembe. Swala la kutumia kondom pia tuelimishane kwa mapana juu ya effectiveness zake katika kuua hilo tatizo.Hii imekaa kinyanyapaa flani hivi. Tutambue wenye ukimwi wote ni wenzetu na matter of fact as long as tunaishi duniani na ukimwi ulipokaa hakuna mtu ambae hapataki ama anaweza kufanikiwa kupakwepa basi na sisi ni wagonjwa wa kesho.
Zaidi ukimwi sio tishio kwa miaka hii kama ilivyokuwa ukimwi ulipokuwa kwenye ubora wake inasemekana kwa tafiti za kitaalamu kwa sasa pia hauna makali kama ule wa zamani uliowapukutisha ndugu zetu wa bukoba na kubakiza makaburi peke yake mbele ya nyumba zao.
Nimeshuhudia watu wanaishi miaka mpaka 20 zaidi wakiwa na maambukizi ya ukimwi kwa hiyo kwangu sio ishu ya kutisha saana ukigundua unao..maana sio ugonjwa ni hali tu ya kupungukiwa na kinga mwilini. Ugonjwa mbaya ni Kansa, kisukari, paralysis, arthritis, cystic, fibroid e.t.c hivyo kwa wote wenye hili tatizo msiwaze sana wala msiharibu malengo yenu HIV is not an issue this days.
Matter of fact, Dr Caril from USA kwenye utafiti wake wa cell editing amefikia hatua za mwisho kabisa kuleta tiba ya huu ugonjwa kisayansi kwa miaka mitano ijayo. Kama huwezi kusuburi tiba basi nenda hata kwa yesu anaponya magonjwa yote kwa imani. Niliendaga SCOAN kwa TB Joshua nikaona watu wanapona HIV kama mafua vile...relax and tuliza akili binadamu una uwezo mkubwa saana huu ugonjwa sio kitu kwako.
Hopefully nimesaidia kwa maandishi yangu ya kutoa moyo na kueleza ukweli wa kukabiliana na kaishu haka kakizamani.
If you are positive stay positive and you will live up happily.
Mkuu umejibu vizuri sana watu wa vijijini na walio kulia huko wanakuaga na uelewa mdogo juu ya HIVHii imekaa kinyanyapaa flani hivi. Tutambue wenye ukimwi wote ni wenzetu na matter of fact as long as tunaishi duniani na ukimwi ulipokaa hakuna mtu ambae hapataki ama anaweza kufanikiwa kupakwepa basi na sisi ni wagonjwa wa kesho.
Zaidi ukimwi sio tishio kwa miaka hii kama ilivyokuwa ukimwi ulipokuwa kwenye ubora wake inasemekana kwa tafiti za kitaalamu kwa sasa pia hauna makali kama ule wa zamani uliowapukutisha ndugu zetu wa bukoba na kubakiza makaburi peke yake mbele ya nyumba zao.
Nimeshuhudia watu wanaishi miaka mpaka 20 zaidi wakiwa na maambukizi ya ukimwi kwa hiyo kwangu sio ishu ya kutisha saana ukigundua unao..maana sio ugonjwa ni hali tu ya kupungukiwa na kinga mwilini. Ugonjwa mbaya ni Kansa, kisukari, paralysis, arthritis, cystic, fibroid e.t.c hivyo kwa wote wenye hili tatizo msiwaze sana wala msiharibu malengo yenu HIV is not an issue this days.
Matter of fact, Dr Caril from USA kwenye utafiti wake wa cell editing amefikia hatua za mwisho kabisa kuleta tiba ya huu ugonjwa kisayansi kwa miaka mitano ijayo. Kama huwezi kusuburi tiba basi nenda hata kwa yesu anaponya magonjwa yote kwa imani. Niliendaga SCOAN kwa TB Joshua nikaona watu wanapona HIV kama mafua vile...relax and tuliza akili binadamu una uwezo mkubwa saana huu ugonjwa sio kitu kwako.
Hopefully nimesaidia kwa maandishi yangu ya kutoa moyo na kueleza ukweli wa kukabiliana na kaishu haka kakizamani.
If you are positive stay positive and you will live up happily.
Mkuuu maelezo yako nimengi ila ukweli ndo huooo.haijalishi umeupataje,,,, ila once unapojua umeupata totally unapoteza kila kitu.Hii imekaa kinyanyapaa flani hivi. Tutambue wenye ukimwi wote ni wenzetu na matter of fact as long as tunaishi duniani na ukimwi ulipokaa hakuna mtu ambae hapataki ama anaweza kufanikiwa kupakwepa basi na sisi ni wagonjwa wa kesho.
Zaidi ukimwi sio tishio kwa miaka hii kama ilivyokuwa ukimwi ulipokuwa kwenye ubora wake inasemekana kwa tafiti za kitaalamu kwa sasa pia hauna makali kama ule wa zamani uliowapukutisha ndugu zetu wa bukoba na kubakiza makaburi peke yake mbele ya nyumba zao.
Nimeshuhudia watu wanaishi miaka mpaka 20 zaidi wakiwa na maambukizi ya ukimwi kwa hiyo kwangu sio ishu ya kutisha saana ukigundua unao..maana sio ugonjwa ni hali tu ya kupungukiwa na kinga mwilini. Ugonjwa mbaya ni Kansa, kisukari, paralysis, arthritis, cystic, fibroid e.t.c hivyo kwa wote wenye hili tatizo msiwaze sana wala msiharibu malengo yenu HIV is not an issue this days.
Matter of fact, Dr Caril from USA kwenye utafiti wake wa cell editing amefikia hatua za mwisho kabisa kuleta tiba ya huu ugonjwa kisayansi kwa miaka mitano ijayo. Kama huwezi kusuburi tiba basi nenda hata kwa yesu anaponya magonjwa yote kwa imani. Niliendaga SCOAN kwa TB Joshua nikaona watu wanapona HIV kama mafua vile...relax and tuliza akili binadamu una uwezo mkubwa saana huu ugonjwa sio kitu kwako.
Hopefully nimesaidia kwa maandishi yangu ya kutoa moyo na kueleza ukweli wa kukabiliana na kaishu haka kakizamani.
If you are positive stay positive and you will live up happily.
Kabisaaa...naizi mambo zakujifanya ooohhhhh HIV nisawa namalaria izo mammbo ndo zinawapa watu vichwa....Hili ni swala la kuelimishana tu. HIV is a community threat. Lengo Langu ni kusaidia watu kupima, kujijua hali zao, na kuacha ngono zembe. Swala la kutumia kondom pia tuelimishane kwa mapana juu ya effectiveness zake katika kuua hilo tatizo.
Karibuni kwa elimu
Teheeee teheeeee mkuuu Siku izo watu wamjini ndo wanaongoza kukwaaaaa!!.Mkuu umejibu vizuri sana watu wa vijijini na walio kulia huko wanakuaga na uelewa mdogo juu ya HIV