Mila na desturi za nje ya Africa

Mila na desturi za nje ya Africa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Mdada umepata boyfrien mzungu, Huyu alikuja ku volunteer kama mwalimu wa English pale kijijini. Kwakuwa wewe ni kama Sky Eclat , "yes, no" unazielewa basi mmezoeana na mwisho mmeanza ku date.

Miezi sita imepita muda wa mzungu kuondoka unefika. Mnaagana kwa majonzi lakini anaahidi kukununulia ticket uwende kwao. Muda unefika ticket imefika na unapata na visa.

Mzungu anaishi na wazazi wake, hawa ni wastaafu na muda mwingi wako nyumbani. Wamepeana majukumu mama anasafisha nyumba na kupika. Shughuli za kufua na kupiga pasi ni jukumu la baba.

Umefika hujui utaanika wapi pichu zako ukitoka kuoga. Ulifungasha saba kutoka bongo, umeamua kuzihifadhi kwenye mfuko utafua ukirudi hutaki kuaibika ugenini.

Ni siku ya tano hii baba mkwe mtarajiwa hajaona pichu yako kwenye laundry basket, anakuja kukuuliza "binti hivi unavaa pichu?" Mshangao umekupata, huku kwetu baba yule angemtuma mkewe basi akuulize kama hili limemkera.

Ni mila na desturi tu ni tofauti na za kwetu.
 
Da! Nimeipenda hii hoja. Sitalaumu utaratibu wa hawa watasha, ni desturi yao. Tatizo huyu dada yetu anashindwa kujiongeza mapama, angeongea na shem yetu from the very beginning kuhusu masuala ya laundry za pichu.

Mwanaume ikinitokea niko kwa mamsapu wangu ughaibuni halafu ramani haisomeki nafua kufuli natimba nalo gheto naanika hata kwenye sofa. Kama bahati mbaya mkwe anatimba ndani nitampa laivu.... desturi zetu haziruhusu wakwe au watoto kuona kufuli za watu wazima.... Wataelewa tu.
 
Na ukimjulisha mwenyeji anaweza hata kukutafutia sabuni ya kufulia. Nguo ukiifua na sabuni ya kuogea inakuwa na ka-harufu flani hivi
 
Na ukimjulisha mwenyeji anaweza hata kukutafutia sabuni ya kufulia. Nguo ukiingia ma sabuni ya kuogea inakuwa na ka-harufu flani hivi
Yes. Nguo za ndani ukizifua wakati wa kuoga huwa zinakuwa na harufu ya kipekee, nadhani sababu ya sabuni tunazoogea.
 
Ukienda ugenini ni heri uulize ulize mambo kama hayo isije kuwa tafrani huko mbele..

Sio kisa wewe wa Kolo-mij-e ukahisi dunia nzima ina tamaduni kama za huko utokako
 
Ukienda ugenini ni heri uulize ulize mambo kama hayo isije kuwa tafrani huko mbele..

Sio kisa wewe wa Kolo-mij-e ukahisi dunia nzima ina tamaduni kama za huko utokako
Ningeshtuka pia, baba mkwe kuulizia pichu zangu😀
 
Wazungu kwa hili mnawasingizia,when it comes to privacy,they are second to none.Kuna mambo ukiwa Yes/no yatakupa taabu but hii generation ya sasa inapima upepo na kuadjust instantly
 
Wazungu kwa hili mnawasingizia,when it comes to privacy,they are second to none.Kuna mambo ukiwa Yes/no yatakupa taabu but hii generation ya sasa inapima upepo na kuadjust instantly
Haya yakitokea kweli, wazungu pia wanapenda gossip kuliko Huku kwetu Kwamtogole
 
Hivi chupi hua zinanyanyapaliwa kwanini!? Usiri wake unatokana na nini hasa? Ni kwakua zinavaliwa ndani ya nguo nyingine? Au kwakua zinagusa dushe na papuchi? Mbona hata usipovaa chupi nguo ya nje inagusa hivo viungo. Hata ancestors wetu walikua hawavai nguo za ndani tuseme tumewaiga wao kuzionea aibu! Basi hata skin tight, misuli inayovaliwa na wazee wa pwani na hata kanga wanazovaa wanawake nazo ni zakuonea aibu maana hua zinagusa maeneo hayo mubashara
 
Kuna nchi mkuu wanaume hawaruhusiwi kuuza pichu za kike hii ni Saudi Arabia. Ni utamaduni wetu kuwa pichu huanikwa kwenye faragha na hata kama ni nje zitafunikwa kwa khanga chakavu kidogo ili kuzistri
 
Kuna nchi mkuu wanaume hawaruhusiwi muuza pichu za kike hii ni Saudi Arabia. Ni utamaduni wetu kuwa pichu huanikwa kwenye faragha na hata kama ni nje zitafunikwa kwa khanga chakavu kidogo ili kuzistri
Lakini kweli bana, chupi zina faragha flani hivi hasa kwetu waafrika nadhani na waarabu. Hua pia naona ukakasi kidogo muuza chupi za kike akiwa ni mwanaume anapomshawishi mteja wa kike ubora wa bidhaa yake huku wakiishika chupi kwa pamoja na kuivutavuta hasa ile sehemu inayoficha mashavu ya naniliu! Lakini kwa wazungu ndio hivo tena wao ka lakitu poa, so just do as Romans when you are there
 
Kuna documentary niliangalia, kijana wa kizungu alikwenda Arabuni kujifunza culture. Alimuuliza mwenyeji wake iweje mnaruhusu discriminate wanawake, mnataka wajifunike kabisa? Alijibiwa nyinyi mnavyo exploit wanawake kwa kuwavalisha pichu na sidiria ma kuwapiga picha ili kuuza bidhaa ni haki?

Nililipenda sana jibu hilo.
 
Kuna documentary niliangalia, kijana wa kizungu alikwenda Arabuni kujifunza culture. Alimuuliza mwenyeji wake iweje mnaruhusu discrimination kwa wanawake, mnataka wajifunike kabisa? Alijibiwa nyinyi mnavyo exploit wanawake kwa kuwavalisha pichu na sidiria ma kuwapiga picha ili kuuza bidhaa ni haki?

Nililipenda sana jibu hilo.
Wewe unaonaje dada, nani hasa anampa thamani inayostahili mwanamke? Utamaduni wa kizungu ambao hauna marufuku ya uvaaji yaani kila mtu yupo huru kuvaa/kutokuvaa anavojisikia maana ni mwili wake au culture ya waarabu ya kuwataka wanawaje kujifunika/kujihifadhi hata kama mwanamke mwenyewe atataka kukaa nusu uchi maana mwili ni wake mwenyewe?
 
Back
Top Bottom