Msaada kuhusu ndoa ya mkeka

Msaada kuhusu ndoa ya mkeka

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
930
Reaction score
1,024
mambo vipi wananchi wa magufuli mada hapo juu kama inashtusha au imekaa kawaida lakini kuandika hv ni kwamba naomba kuuliza au mm nimjinga nashindwa kuelewa kuhusu ndoa ya mkeka, nina mambo mawili au matatu kuhusu ndoa ya mkeka
kwanza hv ndoa ya mkeka ina husu kwq wanaume tu na sio kwa wanawake hv kama mwanamke umekaa nae zaidi ya mwaka alafu ataki mfunge ndoa ukimuita shekh awafungushe ndoa ni kosa au vipi
pili naombeni kujua hii ndoa ipo kisheria kabisa na kama imekutokea mtoto wa kiume ni njia gani unaweza uka escape for this issue nimeandika uzi kwasabu wqtu wengi nawaona hasa rafiki zangu wanafungushwa ndoa ya mkeka bila wao kutegemea
 
After fumanizi tu hapo hapo wanapigwa pingu za maisha [emoji23][emoji23]

Ili waepuke zinaa
Faida yake haina gharama[emoji23]

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
';,:,,,",,;':,??"' Chora chora ata izo alama basi kwenye maandishi yako[emoji41]
 
After fumanizi tu hapo hapo wanapigwa pingu za maisha [emoji23][emoji23]

Ili waepuke zinaa
Faida yake haina gharama[emoji23]

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
ila mm nadhani haya mafumanizi haya yanategeshwa
 
Kabla ya kuingilia kuwa ndoa hiyo inaswihi au la, inabidi labda tutazame ni kwanini watoto wazini kabla ya kushitukiziwa na kuozwa. Tunaona huenda sababu kubwa ikawa ni wazazi wenye kuweka vikwazo juu ya hilo pale kijana anapokuja kutaka kuposa akakataliwa na hivyo kuwafanya watoroshane na wakae katika hali ya kuzini hadi kuzaa watoto. Sababu nyingine inawezekana ikawa ni gharama ya ndoa zetu ambao imepanda kwa kiwango cha kushtusha. Inabidi wazazi wafanye mikakati ya kuona kwamba matatizo hayo yametatuliwa kwa njia nzuri kabisa. Na sababu nyingine ambayo ni kubwa, ni mmomonyoko wa maadili katika jamii zetu kutokana na kukosekana kwa malezi bora ya Kiislamu katika nyumba nyingi za Waislamu.

Ama ndoa ya Kiislamu inaswihi ikiwa yatapatikana masharti yafuatayo:

1. Idhini ya kijana anayeoa kuwa amekubali kwa ndoa hiyo kwa hiyari yake. Na vile vile kukubali kwa msichana kuolewa.

2. Kuwe na idhini ya walii (baba au mlezi) wa msichana kuhusu ndoa hiyo.

3. Kuwe katika ndoa mashahidi wawili waadilifu.

4. Kusomwe khutba ya kuozesha.

Na ikiwa kijana na msichana wamekaa pamoja na wakawa wamezini kwa muda mfupi au mrefu inabidi kuwe na sharti jingine la kuwetanganisha wawili hawa kwa muda ili kupata uhakika kamamsichana ana mimba au la. Na katika kipindi hicho wanatakiwa vijana hao warudi kwa Allaah Aliyetukuka kwa kuomba msamaha, kujuta kwa waliyoyafanya, kutia azma ya kutorudia, kuacha maasiya haya na kufanya mema mengi.

Ikiwa hayo yatapatikana basi ndoa itaswihi. Hata hivyo, wanafaa wakumbushwe kuwa wale watoto waliozaliwa nje ya ndoa si watoto wa baba bali ni wa mama. Watoto hao hawawezi kurithiana na baba, ilhali wanaweza kurithiana na mama.

C&P from Alhidaaya
 
Nilijua mkeka wa kubet.
Daah Magu vyuma vimekaza hadi nawaza mikeka tu
 
asante mkuuu
 
sasa ndugu unakuta mtu umelala na mwanamke kama wiki hiv alafu wanakuja shekh na wazazi wake kuwafungisha ndoa sasa hapa nitaepukaje vip
 
Sasa huo ndo mmomonyoko wa maadili kusema ukweli sikuhz dunia imetuzid

Hutakiwi kufanya hvyo kamwe ndo maana wenzio waja bila taarifa kukuozesha[emoji23] [emoji23]
Fata sheria na taratibu
 
Back
Top Bottom