calvin minde
Member
- Apr 5, 2013
- 7
- 1
Jamani nina shemeji yangu kila anapogombana na kaka yangu anakuja kuleta mashitaka tena akisema hamtaki tena na wanataka kutengana lakin nikiwa nataka kuleta suluhisho wanapatana weak moja nyingine wanagombana na mwanamke ana simulia kila mtu haijalishi ni aina gan ya ugomvi ila tatizo linakuja pale anapokuwa anapatana kimya kimya bila ya kujua wakati wa ugomvi kasumbua watu wengi na hatoi taarifa xa kupatana kwao je nikimkaushia kwani kuna tatizo