Mwanaume mwenye tamaa ya mapenzi mimi nachefukwa kabisa

Mwanaume mwenye tamaa ya mapenzi mimi nachefukwa kabisa

uwiiiiiiii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
341
Reaction score
365
a7bef269da255700c0a5e6248a2690a0.jpg


Habari zenu wadau wa humu JF,

Hapa nyumbani kwangu mwenzenu mwanaume ananitia aibu, kutokana na usalama wa mtoto wangu mbali nakuwa na msichana wa kazi nimejifunza h/grl wengi si waaminifu hivyo nikaamua kumuomba dada yangu mmoja binti yake niishi nae ili anisaidie kumlea mtoto kutokana kwa sasa siwezi nina ujauzito ambao unanisumbua sana.

Jamani cha ajabu mume wangu bila aibu kutwa bwana kumtolea macho yaani mtu anazubaa kabisa, kiukweli mpaka binti amemwambia mama yake anarudi kwao, roho inaniuma sababu mwanangu amemzoea anamjali, sielewi huyu mwanaume anamwambia matatizo gani kichwani.

Naombeni ushauri wenu
 
Tulia ww huyo msichana hata yy ni binadam anahisia anapenda pia acha wivu uchwara Kwan akila hapo anamwachia huyo Dada hiyo dyudyu??? Kizur kula na mwenzako
 
a7bef269da255700c0a5e6248a2690a0.jpg


Habari zenu wadau wa humu jf! Hapa nyumbani kwangu mwenzenu mwanaume ananitia aibu, kutokana na usalama wa mtoto wangu mbali nakuwa nakuwa na msichana wa kazi nimejifunza h/grl wengi si waaminifu hivyo nikaamua kumuomba dada yangu mmoja binti yake niishi nae ili anisaidie kumlea mtoto kutokana kwa sasa siwezi nina ujauzito ambao inanisumbua sana.

Jamani cha ajabu mume wangu bila aibu kutwa bwana kumtolea macho yaani mtu anazubaa kabisaaa kiukweli mpaka binti amemwambia mama yake anarudi kwao, roho inaniuma sababu mwanangu amemzoea anamjali, sielewi huyu mwanaume anamwambia matatizoni gani kichwani.

Naombeni ushauri wenu,
Una mtoto mdogo na una uja uzitoo???? Bhasii usimlaumuu mumeoo.. na atamlaaa tuu huyoo... mpka utakapojielewaa..
 
Anamtamani kwa vile ni mzuri Au ni tabia ya mumeo kupenda kuchovyachovya kila mwanamke?
 
Back
Top Bottom